TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

Poleni sana kwa familia pamoja na wafiwa wote, Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu.

Ila mwezi huu majina yanayoanza na Herufi C naona yanapitia changamoto za hapa na pale kwa wingi au naona mimi tu?
 
Tumepoteza mtu mashughuri na muhim. Alitujabarisha, akatuburusisha na aka tumotivate kufanya Kaz kwa ubora ... All at once when he was doing his job.
 
Hapo Victoria tu kuna Egpty millitary ditachee assets za Appartment.

Kama mjuwavyo jeshi la Egypt ndio linamiliki uchumi mkubwa wa Egypt.
 
Dah....apumzike kwa amani .pole ndugu jamaa na marafiki haswa rafiki yake kipenzi Salim kikeke sijui atakua na Hali Gani ... na WATANZANIA wote waliokoshwa na weledi wa kazi yake ya utangazaji..
 
Ukishakufa huendelei kuwa na wadhifa wowote kila kitu kinakoma unakuwa "aliyekuwa" utasemaje tena Mkurugenzi wa... wakati mtu amekufa? Huyo anabaki aliyekuwa maana kifo kimemuondoa kwenye nafasi yake tyr
 
Huyu jamaa alikuwa anauguwa au ni ghafla tu?

Ukisikia mwisho mwema ndio huu hutesi watu kukuuguza na wala mwenyewe huteseki, hii ni neema kwa watu wachache sana ingawa binadamu huumizwa na vifo vya ghafla lakini ukweli huwa ndio mwisho mwema wenyewe.
 
Apumzike kwa amani.
Nimemjulia BBC miaka ya 2000 mwanzoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…