Ongezea Isaac Muyenjwa Gamba "Nyagabona"Pia awasalimie Karem Besta,Eda Sanga,Uncle J Nyaisanga,Rehema Mwakangale,Zuberi Msabaha,Deo Kiduduye,Freddy Felix au Fredwa,Job aiza Kamwamto wa Kenya,Leondard Mambo Mbotela wa Kenya na na wengine
"Charles akamfundisha Halima Mchuka "Kwa list hii wa kwanza kumsalimia atakuwa Ahmed Jongo halafu Halima Mchuka. Ahmed Jongo alimfundisha kutangaza mpira na Charles akamfundisha Halima Mchuka kiasi ya kuwa mtangazaji wa kwanza mwanamke wa mpira wa miguu Tanzania. Pia atawakumbuka wenzake wengine akina Salama Mfamao, Hamza Lihomba,nk nk. Hamza Lihomba alikuwa fundi mitambo wake pendwa Charles alipokuwa anatangaza mpira RTD.
Kiss walikua wanajiunga na BBC??vizuri umenikumbushaKISS FM🤝
Zanzibar ile jamii siwaamini hata kidogo, huyu hakuwa mzee hata kidogo alikuwa kijana kabisa huyu miaka 66 bado alikuwa mwamba.
Yale majitu ya Zanzibar kule yana roho za husuda na ubaguzi na watu wa Tanganyika,yapo radhi hata yakudhuru,sijui yapoje.
Why mtu aanguke ghafla tu. Mmmmmm mimi huu msiba kiukweli sijaupokea kama ni wa kawaida, una walakini.
No any grievance mkuu kma nimekosea namna ya uwasilishaji ni sawa lkn sina ugomvi na mtu mimiMods please change the title
Tunaweza kuwa na grievance zetu lakini Tuache kuruhusu watu wanaonormalize vitu vya hivyo kama huyu mleta mada
Akitangaza mpira,ni bora usikilize utainjoi kuliko kuuangaliDah mtangazaji wangu pendwa hatunaye,
Rest in peace mwamba
Miaka 66 mingiNilichojifunza na Wanangu Ntawafundisha na hata sasa mimi Binafsi mtaani naishi hivyo;
Kuna jamii ukiwa juu yao kwa Cheo au fursa au kipato akijua ukitoka wewe atapata yeye ni sheedar muda wowote unaenda kwa Sanda.
Hiyo itakua presha,kavu sana huo ugonjwa,hali hubadilika ghaflaUnaelewa nini taarifa inaposema
"amefariki njiani akiwa anapelekwa hospitali ya Taifa muhimbili tawi la mloganzila?