Wanaopendwa...wanakufa
Wasiopendwa....wanakufa
Wenye nguvu....wanakufa
Dhaifu.....wanakufa
Wazuri......wanakufa
Wabaya.....wanakufa
Tajiri.......wanakufa
Masikini......wanakufa
Watawala......wanakufa
Watawaliwa.....wanakufa
Watesaji.......wanakufa
Wateswaji......wanakufa
Wenye akili ......wanakufa
Wajinga......wanakufa
Wasomi......wanakufa
Mbumbumbu.....wanakufa
Timamu.....wanakufa
Punguani......wanakufa
Wazazi........wanakufa
Wagumba.......wanakufa
Rijali ....wanakufa
Hanithi......wanakufa
Wanaume.....wanakufa
Wanawake.....wanakufa
Wajanja.....wanakufa
Washamba....wanakufa
Watoto...... wanakufa
Watu wazima......wanakufa
Wanene...... wanakufa
Wembamba.........wanakufa
Watakatifu.....wanakufa
Watenda dhambi.....wanakufa
Wewe .....utakufa
Mimi....nitakufa
Yule ......atakufa
Wote.......tutakufa
RIP brother Charles Hilary.