TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Hizo stika za Wiki ya nenda kwa usalama ni biashara kama ya maji na mafuta ya manabii,siasa tu ukaguzi wa vyombo ni sifuri.
 
Nooma sana,mtu kama kamkopesha halafuu hamna maandishi...imeenda hiyoo😭R.I.P kamanda Solo.
 
Afrika ni aibu tupu, watu wanakufa vifo vya ajabu ajabu tu. Leo hii mtu anagongwa na gari kizembe tu.
Serikali inapaswa kusimamia usalama hasa kwa madereva wasio na sifa.
Ajali nyingi ni za wazembe wasiojali maisha ya wengine.
ni rahisi sana kufa Afrika hasa TZ kuliko sehemu zingine. Afrika kifo ni kugusa tu.
 
Tatizo Wana mbeya tunapenda bus za mineso kama za sauli scania sio kama michina hio Yakina achimwene na newforce likipiga tuta usipoangalia vizuri unachomoka dirishani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…