TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Hizo stika za Wiki ya nenda kwa usalama ni biashara kama ya maji na mafuta ya manabii,siasa tu ukaguzi wa vyombo ni sifuri.
 
Afrika ni aibu tupu, watu wanakufa vifo vya ajabu ajabu tu. Leo hii mtu anagongwa na gari kizembe tu.
Serikali inapaswa kusimamia usalama hasa kwa madereva wasio na sifa.
Ajali nyingi ni za wazembe wasiojali maisha ya wengine.
ni rahisi sana kufa Afrika hasa TZ kuliko sehemu zingine. Afrika kifo ni kugusa tu.
 
Mmiliki wa mabasi ya Sauli,solomoni Sauli amefariki kwa ajari eneo la miwaleni,Mlandizi mkoani Pwani
 

Attachments

  • FB_IMG_1722776529955.jpg
    FB_IMG_1722776529955.jpg
    89.2 KB · Views: 5
Akina Achimwene si wapo? Au wataibuka wengine na maisha yataendelea. Dunia haijawahi kukunguwazwa kwa kuondokewa na mwanadamu. Ndiyo maana ikasemwa kwamba everybody is replaceable - hata uwe na umuhimu kiasi gani.

Na hii inaturudisha kule kule kwenye Mhubiri 1: 2 (Yote ni ubatili!)
Tatizo Wana mbeya tunapenda bus za mineso kama za sauli scania sio kama michina hio Yakina achimwene na newforce likipiga tuta usipoangalia vizuri unachomoka dirishani
 
Back
Top Bottom