TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Upigaji wa simu,upokeaji wa simu na mikopo ni chanzo kikubwa cha ajali za matajiri wa mabasi!
 
Utajiri wa makafara sio mzuri yafaa nini kuwa tajiri kwa muda ukila Bata kisha unaenda kutumika kwa mateso kuzimu hadi miaka yako aliyokuandikia Mwenyezi Mungu itakapoisha ndipo utatoka kuzimu kusubiria hukumu.
Ndo maana matajiri wengine mkataba ukifika wanajipiga risasi au kujinyonga ili wasiende kuzimu kumalizia muda uliobakia,maana shetani achukui kibudu.
 
Anaonekana alikuwa kijana mdogo tu! Basi tena ndiyo hivyo! Sijui nani atamrithi barabarani?
Poleni wale wa Mbeya na nyanda za kusini.
Akina Achimwene si wapo? Au wataibuka wengine na maisha yataendelea. Dunia haijawahi kukunguwazwa kwa kuondokewa na mwanadamu. Ndiyo maana ikasemwa kwamba everybody is replaceable - hata uwe na umuhimu kiasi gani.

Na hii inaturudisha kule kule kwenye Mhubiri 1: 2 (Yote ni ubatili!)
 
SGR itawafanya matajiri wengi wa mabasi kukata moto sana. Unakuta ana mkopo crdb bank, hati za majengo yake ziko bank, huku mabasi yanaondoka na abiria wawili.
Tutarajie makubwa
Tuishi kwa mazoea biashara ubadilika kwenye maisha usitegemee biashara moja
 
Jamii check tuthibitishieni hii taarifa
 
Poleni Sana, Kamanda Apumzike Kwa Amani
Mwendo Ameumaliza Hapa Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…