TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Sijui nani alimpotosha kuchukua scania kwa biashara za mabus.
Biashara ya mabus ni kama ya bar wateja ni wale wale wakikuchoka wanahama
Sauli hakuwahi kua na uhaba wa abiria shida iliyokuepo sauli mabasi aliponyang'anywa akawa hana option yaan zile zile tupa geuka basi zikaanza kuchoka...mpaka gari zinaenda gereji bado jina lake lipo midomoni mwa watu na angerudi na moto ule ule jamaa kampuni yake mbeya inapendwa sana.
 
Sura ya Ankabut (29:57), inasema:

"Kila nafsi itakufa, kisha mtarudishwa kwetu."

Aya hii inasisitiza ukweli wa kifo kwa kila binadamu na kutukumbusha kwamba maisha haya ni ya muda mfupi, na hatimaye tutarudi kwa Mwenyezi Mungu. Inatufundisha kuishi maisha yenye maadili kwa ajili ya maandalizi ya maisha ya baadae.
 
Hizi Barabara zetu zenyewe nyembamba ukipishana na basi au lori uko mafuta ukayumba tayari balaa, Barabara kila mahala viraka gari inakuwa haiko stable muda wote.

Hapo Chalinze to kibaha barabara ndio majanga kabisa, Ile six lane walau to Chalinze ni muhimu sana japo ilipaswa kwenda mpaka Morogoro.
Defensive driving ni muhimu sana kwenye barabara zetu.
 

Watanzania waliopo jamiiforums wana kiasi furani cha chuki kwa matajiri.
Tajiri akifa lazima wamtafutie neno, inaonyesha kutafuta pesa hatimaye kuzipata ni chukizo kwa baadhi ya watu.
Wengi humu wamemjuq kupitia mabasi, ila ni mtu ana miaka mingi nyuma hata kabla ya haya mambo ya punje za kuku hayapo. Halafu maskini akifa kwa ajali ni mapenzi ya Mungu ila tajiri akifa kwa ajali ni hela za manyoka... chuki kali sana hizi kwa matajiri mkuu
 
Nimeshangaa sana aisee,japo sijui historia yake ila nina hakika hata leo ndugu zake wakiweka basi barabarani lenye jina la hiyo kampuni atawapiga bao sana watu.

Mimi nilikua siwezi enda mbeya bila Sauli ,wakati niko pale mafinga nimebeti sana na kula hela kupitia Sauli. Nilipoenda makambako hivyo hivyo (mabasi yana addiction mbaya sana kuna wakati nilikua nasimama tu barabarani na wana tuione sauli).
 
Konga yule alikuwa Sumbawanga au mwingine? Nae kafariki
Konga yuko pale pale Chunya Mjini.

Huyu aliwahi kuwatapeli wazungu aliwauzia saineti la mchongo wazungu walipoona mlima mkubwa wakaona yesi hii mali basi nao wakajaa.

Baadaye katika kupakia si wakakuta kumbe ni kichuguu tu jamaa alifanya uhuni kuweka saineti kidogo kwa juu ili ionekane ni bonge ya mlima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…