Mkurugennzi kaamua kuonyesha rangi yake halisi..Huyu mkurugenzi mkuu wa NEC anaitisha vyombo vya habari na kusema eti watanzania wanataka mtu atakayelinda madini yao, atakayewajengea vituo vya afya, atakayewajengea mabarabara, atakayewaletea umeme. Kwani haya yanaihusu NEC?...
Huyu ni kada kama wengine sema tu hatujuwi namba ya kadi yake. Amekosa hata busara za kujuwa kiti alichokikalia kinamtaka a behave namna gani??.Huyu mkurugenzi mkuu wa NEC anaitisha vyombo vya habari na kusema eti watanzania wanataka mtu atakayelinda madini yao, atakayewajengea vituo vya afya, atakayewajengea mabarabara, atakayewaletea umeme. Kwani haya yanaihusu NEC?...
Hapo ndipo tume na wanapokesea, tunachokitaka tunakijua wenyewe tuacheni tuchague wenyewe, hata tukichagua jiwe lituwakilishe kwani toka tunaichagua CCM lini ilishawahi kuniletea ugali mezani ? Tunakula kwa nguvu na jasho letu msitutishe.Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!...
Huyu jamaa ni mpumbavu kama wapumbavu wengine! Ina maana anaipigia kampeni CCM? Sitamheshimu hata siku moja nyoko kabisa! Nani amemwambia raia wanataka ndege? Mamamake!!Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!
Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea madini yao
kila mkoa una soko la madini ambapo wachimbaji hupeleka kwa ajili ya kuuza, haya masoko aliyaanzisha JPM baada ya sakata la makinikiaKwani sasa hivi madini yanachimbwa na wasukuma na kuuzwa soko la Kariakoo? Huyu jamaa amekula maharage ya wapi? Ninachojua mimi ni kwamba madini yanachimbwa na wageni na yanauzwa huko huko nje kwa wageni. Mitutusa mingine bhana!
Kwakweli sikujuwa kama huyu jamaa ni wa namna hii, ni dhahiri kuwa tume haiko huru lkn kashindwa hata kufunika funika??. Hebu niambie kwa speech hiyo anawezaje kusimama na kusema tume anayo iongoza ni huru??.......btw, wapekenyuaji mtujulishe namba ya kadi ya uanachama wake, maana ni hakika kwamba kadi ya CCM anayo.Ahaaaa ahaaaa, halafu eti tume ya uchaguzi inajiita iko huru huku kiongozi wa tume anaghani mashairi ya ccm. Magufuli ameishurutisha hiyo tume wamtangaze yeye na chama chake kwa 90%+, hivyo tume wanatuandaa kisaikolojia. Kitendo cha Lisu kusema haramiachia Mungu kinaichanganya tume maana wana matokeo tayari kabla ya kura halisi. Nimecheka sana eti hawataki mtu atakayepeleka madini yao nje kwa wazungu, kwani mpaka wanaochimba ni kina nani, na baada ya kuyachimba wanayapeleka wapi kama sio kwa wazungu? Kweli tume hii imeshapoteza uhalali
Mimi nasema mtu neutral anatakiwa azungumzie kanuni na taratibu za uchaguzikusema kwamba mgombea inabidi atetee rasilimali za nchi na awe mzalendo sio kua neutral? Kwamba kwa kusema hivyo basi wanampigia kampeni mgombea wa CCM? Ukiona mtu ana react kwenye hili ujue mgombea wake sio mzalendo wala mtetea rasilimali za nchi.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!...
Huyu Mzungu mweusi (Tundu Lissu) anataka kurudisha ukoloni maana si Raia wa Tanzania tena.
Naona mmeongeza nguvu mpya baada Jiwe kufilisika hojaLissu ajikite kwenye sera sio vibweka