MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Mkurugennzi kaamua kuonyesha rangi yake halisi..Huyu mkurugenzi mkuu wa NEC anaitisha vyombo vya habari na kusema eti watanzania wanataka mtu atakayelinda madini yao, atakayewajengea vituo vya afya, atakayewajengea mabarabara, atakayewaletea umeme. Kwani haya yanaihusu NEC?...