Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
zero kabisa, yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Tena akahoji why wanaoenguliwa ni upinzani pekee, pili je Kama mgombea kuzulumiwa haki yake ya kutotangazwa mshindi haki yake atapaje.Sasa Lissu akienda ndo atajua Lissu nyoko. Ataenda na hii clip na atawapiga maswali kutoka kwenye hii hii clip hadi watapoteana ππππ
Huyu naona hamjui Lisu!Naona kapania kupambana na Lissu.
CCM awakutegemea kuuona nyomi ,nyomi ufanya kazi ya wizi kuwa ngumu. Yahya Jameih alimiliki Hadi tume anajipangia tu asilimia za ushindi lkn wananchi walipoamua alipigwa na tume yake Barrow akatangazwa mshindi.Aliposema akishinda watamtangaza alimaanisha. Huyu bwana hatanii, nadhani ameona dalili za kumtangaza..
Ilitakiwa hayo mahojiano na Lissu yasimamiwe na neutral figure siyo yeye huyo kada.Huo Moto wa Kanda ya ziwa si wa kitoto aise ngoja tuone kipindi cha pili Sasa,ccm wamepoteana na tume yao. Hoja za kitoto kabisa eti wataiba madini yao zero kabisa huyu kibraka ana elimu gani reasoning yake ipo down Sana.
ushauri mzuri sana.Kauli hizo ni mwendelezo wa maneno na matendo ya dhahiri NEC haipo huru ni kama tawi la ccm. Wanasheria kusanyeni ushahidi mnaweza kuanzisha kesi yenyo mashiko mbali ya mazingira tata mifumo yetu.
Matusi yapi aliyotukana wkayasikia wao tu?!Wanashangaza sana. Wamezuia hotuba za Lissu kuoneshwa live ila wao ndo wa kwanza kuhabarisha umma juu ya hotuba za Lissu ππππ
Yeye atakua dhoofu bin hal!Tunaposema Lissu ni hatari ndio muelewe. Mkurugenzi wa uchaguzi kachanganyikiwa na kuanza kunadi sera kama kichaa.
Sasa kama kibaraka hofu yake ni dhahiri namna hii βbosiβ wake ana hali gani?
Hii sio aibu, ni fedheha!
Anahofia kukosa ajiraIlitakiwa hayo mahojiano na Lissu yasimamiwe na neutral figure siyo yeye huyo kada.
mimi nna zanguHuna hata robo ya akili za mshana