Tetesi: Mkurugezi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa kwenye Sekretarieti ya Madili ya Umma

Tetesi: Mkurugezi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa kwenye Sekretarieti ya Madili ya Umma

Habari wana jf
Taarifa zilizonifikia kutoka Arusha zinahabarisha kuwa
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo katika Sekretarieti ya Maadili
Katakuwa kamemtukana kwamba naye ana degree ya pichu?
 
Habari wana jf
Taarifa zilizonifikia kutoka Arusha zinahabarisha kuwa
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo katika Sekretarieti ya Maadili
Una haraka mno, details zaidi tafadhali. Hata hujasema kwa nini nk.
 
Kwa hiyo wewe unawashobokoea walilia posho? Wanasiasa wa kibongo wanatutia aibu na sijui hii aibu itaisha lini.
simjui hata mwanasiasa mmoja pande hizo ila kuleta sifa za tumbili ndio shida yangu.
 
K

Kama jiji linafanya mambo yasiyofaa na kulalamikiwa na kusimamiwa na madiwani wenye tamaa na visasi vya kulipiza visasi yeye asiingilie kati sio. Yeye ni mwakilishi wa Raisi katika mkoa. Lawama na vilio vilivyokua hapo stendi ndigo na maeneo mengine aache tu kwa kua jiji linasiamamiwa na chadema. Acha hizo.

Kwanini aliepita hakuwa na mgogoro na uyo mkurugenzi au madiwani?
 
Mrisho Gambo ana kiherehere utafikiri kuku anaetotoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dooh Sara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa kunipa smile
 
Back
Top Bottom