Pre GE2025 Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

Pre GE2025 Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Je dhana ya 4R
Wasira: asilimia kubwa yaani kati 75 - 90%
Mama Mongella: 95%
Doyo : 100%
Salimu: 75%
Ado: 80%
 
Wasira anaeleza namna anavyo elewa kuhusu falsafa ya 4R.
Anaeleza namna alivyoelewa kuwa katika historia yetu tumekuwa na siasa za kujenga uhasama.
 
Mongella: Rais ameleta misingi ambayo itatusaidia katika wakati huu wa kutengenza dira. Dira ni chombo kitakazo saidia taifa katika miaka 25.
Anaomba ziwekwe katika kiswahili ili tuelewe kwa pamoja. Anaomba lazima tuweke msingi muhimu. Yaani elimu itumike
 
Doyo: Kaitka uelewa wake wa 100% ameangazia katika uhuru wa vyombo vya habari na vyama vya siasa. Katika hizo R kutakusamehena, kujenga.
Aliposema 100% ni uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza. Ametoa hotuba 19 march 2023 na ameendelea kuisimamia.
 
Wanabodi,
Niko ndani ya ukumbi wa JNICC kwenye Mkutano huu muhimu Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024 View attachment 2855370

Mkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!,

Ila to be honest, nilikuwa nina wasiwasi na baadhi promo za Mkutano huu, kama baadhi ya washiriki hawa
View attachment 2855372View attachment 2855373View attachment 2855374
View attachment 2855375 japo sijabaatika kumuona yeyote kati ya hao, ila Chadema wamewakilishwa na Makamo Mwenyekiti wa Chadema na na NKM wa Chadema, Kamanda Salum Mwalimu, ambaye yuko in full regalia ya combat.

Mkutano umeanza, fuatilia live Mubashara kupitia Wasafi
View: https://www.youtube.com/live/WMNZqOQv-jo?si=gbOqXz5I22MQuyka

Kwa Tanzania Bara, ukisema upinzani unamaanisha Chadema!, huu ni mkutano wa 3 wa Baraza la Vyama vya Siasa, mikutano miwili iliyotangulia, Chadema walisusa. Mkutano wa kwanza pale Dodoma, mimi niliwaomba wasisuse Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
Chadema waligomea wito wangu ila hapa walikuwa na justified reason ya kususa, Mwenyekiti wao alikuwa korokoroni akikabiliwa na kesi ya ugaidi.

Kesi ya Mbowe ikafutwa, Mbowe akaachiwa, CCM wakafanya mazungumzo ya maridhiano na Chadema, wakafikia makubaliano ya kugawana nusu mkate. Lakini mkutano wa pili wa Baraza la Vyama vya Siasa, bado Chadema walisusa!.

Hivyo mkutano huu wa 3 ulipoitishwa, nikaandika tena kuwasihi Chadema wasisuse Baada ya maridhiano kuna haja kuendele kususa na kuzira? Njooni mezani, tukae pamoja, tuwe wamoja, twende pamoja!

This time ombi hili limezaa matunda, Chadema wameshiriki kikamilifu, hivyo ni faraja kubwa kwa wapenda demokrasia.

Karibuni.

Paskali

Uko kwenye mkutano huku wenzako wako Ruangwa kwenye kampeni rasmi ya urais.
 
Mwalimu: Kabla sijajibu swala hilo. Nilipojibu hizo asilimia nilijua kuwa ni utendaji kumbe ni kuzijua. Kama kuzijua nazijua kwa 100%.
Kwa maoni yake, Mh raisi aliichukua nchi katika hali ngumu sana. Tulitoka katika uchaguzi ambao ilikuwa katika taharuki kubwa sana. Anaendelea kuongelea mambo mbalimbali yaliyotokea. Anaendelea kusema raisi aliona lazima mambo yarudi kama kawaida. Ndio maana kukawa na Uhuru wa mikutano ya vyama vya siasa. Vikao vya vyama vya siasa. Kama vitu hivyo vimefanyika nini sasa kifanyike. Ni lazima kuwaunganisha wananchi.

Lazima sasa kuirudisha nchi katika mstari. Anaendelea kuongelea mambo yakipindi kilichopita.
Kaitka hayo yote anaongelea hayo yote yalifanya rais aje na 4R. Kutokana na changamoto tuliyokuwa tunaipitia katika mambo ya kijamii.
 
Ado: Mimi nyenzo inayoniongoza ni uchambuzi wa mkutadha. Contexture Analysis. Kwenye Hotuba ya Rais ailsema anafungua ukurasa mpya wa Tanzania. Yaani tulipotoka kulikuwa na ukurasa lazima tuufunge. Maeneno mawili yalitakiwa ili tufungue ukurasa upya
1. Kuyumba kwa ustawi wa kitaifa
2. Kuyumba kwa Demokrasia

Lazima tuje kwenye mambo na kujenga msingi wa Taifa. Na katika hizo 4r ndio msingi
 
Je hizi 4R zinaweza kuwanyenzo kwa kiasi gani Tanzania inaweza kujiweka katika nafasi nzuri
 
Wasira: Huu mtazamo wa kuanzisha 4R hauwezi kutazama katika Historia fupi. Haya mambo ya kisiasa yalikuwepo tangu miaka mingi. Siyo katik awamu fulani. Yalikuwa yakibadilika katika kila kipindi kwa sura tofauti.

Rais anaitazama Historia yetu yote. Siyo Awamu fulani,
Katika vyama vya Siasa kumekuwa na msingi ya uhasama. Tumejengewa na waasisi wetu kutokutofautiana kwa ukabila udini nk.

Naamini Maridhiano ndio msingi wa kwanza. Maridhiano ndio msingi wa kwanza. Kama huwezi kuridhiana huwezi kufanya mambo mengine. Alipoapishwa alionesha kuwa yupo serious katika jambo hili. Hata katika mazingira ya uchumi, historia ya nchi yetu ilikuwa na uchumi shirikishi. Hata katika Maono ya Afrika, Na maono ya Taifa unaona kabisa 4R ndizo zinazofanyika.

Kitu cha kwanza ni maridhiano. Nasiyo cham cha chama. Ni maridhiano na jamii. Ili kujenga uchumi
 
Mongella: Naomba nianzie alipoishia Wasira "Mardhiano" hizi 4R alizozileta Rais. Mwisho wake lazima tubadilishe mtazamo wa mambo. Lazima tubadilike kwa mfano. Siasa zetu zinaendelea kuwa siasa za uana harakati. Ni lazima tutoke kwenye mtazamo huo.

Dunia inabadilika kwa haraka sana. Bila kuwa na falsafa inayotuongoza hatuwezi kwenda pamoja. Zamani tuliachwa nyuma kwa sababu tulikuwa hatujui kusoma na kuandika. Kwa sasa mambo ya teknolojia na kwa sasa Artifial Intelligent. Hizi 4R zinatupeleka katika 5Th industiral revolution

Kwa mfano msipofanya reconciliation hamna muda wa kutafakari. Na maendeleo ya sasa yanahitaji akili sana. Msipofanya reconciliation hamuwezi kuendelea.

Msipo heshimu mawazo ya mwingine hatuwezi kuendelea. Muda wa kuanza kuhangaika na migonngano.

Hizi 4R kuna mahali tunataka kujenga upya.
 
Back
Top Bottom