Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

Tume ya ukweli unaundwaje. Hebu toa maoni yako ndugu yangu. Huku tukitafakari 4R na baadae tufanye reforms

..Tume ya Haki, Ukweli, na Maridhiano inaundwa na Raisi.

..Na mfano wake ni Tume iliyoundwa Afrika Kusini na ikaongozwa na Askofu Desmond Tutu.
 
..Tume ya Haki, Ukweli, na Maridhiano inaundwa na Raisi.

..Na mfano wake ni Tume iliyoundwa Afrika Kusini na ikaongozwa na Askofu Desmond Tutu.
Sasa tume ya haki inaundwa na nani? Eleza acha kuongea paradox
 
..wewe ndio muongo kwa kubinya maoni ya wapinzani ktk kikao.

..hivi hujisikii aibu kwa haya unayoyafanya?

..unafanya hivyo kwasababu unalipwa, au?
Maoni gani nimeyabinya bwana JokaKuu?
 
Mama Mongella: Mwanamke asipewe uongozi kwa kigezo cha jinsia
Jumamosi, Januari 06, 2024

Muktasari:
Mwanasiasa huyo mkongwe, mwanadiplomasia na mwanaharakati katika ukombozi wa mwanamke duniani, amesema marekebisho yanayofanyika kisheria Tanzania yasiweke msingi wa kumwezesha mwanamke bila kuzingatia uwezo wake.
 
Hata mama Mongella atakuwa kauona udhaifu kwenye uongozi wa Kizimkazi ndiyo maana kasema hivo.
 
Back
Top Bottom