Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #121
Mimi natumia 4R nipo na Ustahimilivu hata kwa vijana waongoVenus Star,
..umetudanganya tangu jana.
..unaweka michango ya kumsifia Raisi tu.
..wanaotoa madukuduku unaficha michango yao.
View: https://www.youtube.com/watch?v=CA_LpQlGCog
Mimi natumia 4R nipo na Ustahimilivu hata kwa vijana waongo
Tume ya ukweli unaundwaje. Hebu toa maoni yako ndugu yangu. Huku tukitafakari 4R na baadae tufanye reforms
Hata mzee Cheyo amechangia point sn
Hawa chawa hawana lolote..wewe ndio muongo kwa kubinya maoni ya wapinzani ktk kikao.
..hivi hujisikii aibu kwa haya unayoyafanya?
..unafanya hivyo kwasababu unalipwa, au?
Sasa tume ya haki inaundwa na nani? Eleza acha kuongea paradox..Tume ya Haki, Ukweli, na Maridhiano inaundwa na Raisi.
..Na mfano wake ni Tume iliyoundwa Afrika Kusini na ikaongozwa na Askofu Desmond Tutu.
Maoni gani nimeyabinya bwana JokaKuu?..wewe ndio muongo kwa kubinya maoni ya wapinzani ktk kikao.
..hivi hujisikii aibu kwa haya unayoyafanya?
..unafanya hivyo kwasababu unalipwa, au?