Gavana Assalaam aleikum,bwana sultan Seif hajambo akhui il kiraam?
Wanafuata mlo , njaa inawahangaisha
Nimekutahadharisha mkuu kuheshimu wazee ni Jambo la muhimu sana.Ukweli hauangalii umri.
Wewe tu Muuza viungo VYA pilau hapo darajani Zanzibar huna njaa,sembuse Profesa?!!sembuse mstaafu wa mfumo bwana Mrema?!!
Kweli waso haya na mji wenu😂😂😂😂😂😂
Nimekutahadharisha mkuu kuheshimu wazee ni Jambo la muhimu sana.
Kwani uliikatazwa kuchukuwa form ?? Mwanachama mwenzenu alijaribu kwenda kuchukuwa Form Kisiwandui alichezea kichapo cha mbwa koko mpaka leo yuko hospitali hajitambui wiki ya pili sasa
tumerudi enzi hiziView attachment 1503658
U
Umeanza maneno yetu ya vibaraza vya kahawa na halua za lozi eee?
Dr Hussein Mwinyi amejitokeza peke Yake ktka mchakato?!!
Kama yupi niliyewahi kumdharau mkuu kwa namna yoyote ile.Mkuu inaonekana kwako ww wazee ni wale wa ccm tu. Sijawahi kuona ukionya wazee wengine wakipewa maneno yao. Ukweli huwa na nguvu zake, ndivyo ulivyo.
Si ndio akakubali kufuata maagizo ya kanisa katoliki au vipi ??
Abui Gavana huendi vema na mtiririko,usheshiba urojo jua Kali lote hili?
Wewe muislam,mm muislam,unapata wapi nguvu za kuisemea imani ya watu ambayo haituhusu Wala kuuhusu mjadala?!!!
Kwi kwi kwi kwi looh
Kama yupi niliyewahi kumdharau mkuu kwa namna yoyote ile.
Sio jukumu langu kuonya kila mtu nasema pale ninapoona jambo kwa wakati husika mkuu.Nimekuambia sijawahi kuona ukionya, je unajua maana ya neno hilo?