Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hayo kawaambie wakristo wenzako kanisani
Sio jukumu langu kuonya kila mtu nasema pale ninapoona jambo kwa wakati husika mkuu.
CCM hawaibi kura. Tatizo wapinzani u mimi unawaponza. Wataendelea kugawana kura.Kwa hali hii alafu uje kusema eti ccm wanaiba kura sijui aah hapana hilo nitakataa milele.
Abui Gavana unajifunua jinsi ulivyo mtu wa chuki na kila aliye na hoja TOFAUTI nawe....
Mambo ya DINI yanaingiaje hapa?!!!!
Nasemaje "attaqwa hahuna"
Nasemaje "kullil haqu Lau kana mura"
Nasemaje "innal batwila kana zahuka".....
Allah,raqib na Attid ni mashuhuda wa Al Qalbu yangu....
Endelea na ARGUMENTUM AD HOMINEM....
CCM hawaibi kura. Tatizo wapinzani u mimi unawaponza. Wataendelea kugawana kura.
Naamini unafatilia hotuba ya mkuu hapo, tutakutana baadae tupate maoni mkuu au una hasira hutaki kumsikiliza.Basi ukae kwa kutulia.
kiswahili swahili kizamanimbona unajitekenya we si ndo umesema zoezi lipo kiswahil swahili
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Tume huru ni kuipigania field. Sema wakiandaa UKUTA baadae wanabadili wenyewe. Ni safari ndefu na inahitaji ujasiri wa hali ya juu.Kama CCM hawaibi kura kitu gani kinawafanya wasiweke tume huru ??
CCM hawaibi kura. Tatizo wapinzani u mimi unawaponza. Wataendelea kugawana kura.
Naamini unafatilia hotuba ya mkuu hapo, tutakutana baadae tupate maoni mkuu au una hasira hutaki kumsikiliza.
Ngoja tumuulize mkuu Tindo sijui analizungumziaje hili mana yupo hapa ataliona hili.CCM hawaibi kura. Tatizo wapinzani u mimi unawaponza. Wataendelea kugawana kura.
CCM hawaibi kura. Tatizo wapinzani u mimi unawaponza. Wataendelea kugawana kura.
Sawa sawa mkuu naona amemaliza sasa.Naifuatilia vizuri sana, katika vitu visivyonipa tabu ni kusikiliza hata watu nisiokubaliana nao.
Ngoja tumuulize mkuu Tindo sijui analizungumziaje hili mana yupo hapa ataliona hili.
Nakuambia tena hawaibi kura za uraisi. 2015 ,wapinzani kwa ujumla wao walipata asilimia nyingi kuliko Magufuli. Wapinzani wakiweka pembeni tofauti zao wakaweka mgombea mmoja vs Magufuli. I tell you Magu anashindwa saa nne asubuhi.Umepotoka...
Hata mm NISINGEKUWA RAIS bila mh.Kikwete......
Aliwatwanga MPAKA marafiki zakeπππππ
Mashallah rais wetu JPM mungu akupe uhai mrefu aaaamin
Doh! Nimecheka sana aisee.Majibu ya hili kwangu yako toka nimejiunga jukwaa hili.