Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Kuna bavicha kaanzisha uzi jana mama samia kagoma kuwa mgombea mwenza...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nakuambia tena hawaibi kura za uraisi. 2015 ,wapinzani kwa ujumla wao walipata asilimia nyingi kuliko Magufuli. Wapinzani wakiweka pembeni tofauti zao wakaweka mgombea mmoja vs Magufuli. I tell you Magu anashindwa saa nne asubuhi.
Bavicha bhana..
 
Breaking News.
Mgombea Urais wa Tz kupitia Chama cha Mapinduzi 2020 Dk. John Joseph Magufuli amemchagua Mama Samia Suluhu Hasani kuwa mgombea mwenza wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Kwel
Hii karatasi ilikuwa na mtego wa maksudi kabisa, hata ukitia [emoji3514] kwenye kivuli maana yake umesema HAPANA kwa kivuli.... umekikataa kivuli hivyo kura inahesabika ya Nyerere.

Kutawala wajinga ni raha sana.
 
Hakuna mgombea mbadala na wanaohesabu kura ni waowao kwahiyo angeweza kupata hata 123% sio ajabu.
 
Akimaliza arudishe na majaliwa kwenye nafasi yake wembe uendeleze makali
 
Ni kama corona tu hakuna kilichafanyika cha kidemokrasia ni uhuni wa kisiasa kwani watu hawana uchaguzi ni lazima.
 
Huyo mzee Mpumbavu tu
Amenyweshwa sumu halafu akazibwa mdomo!. Kweli nchi hii mbaya sana. Ni kama akina Mwakyembe walivyonyweshwa sumu halafu wakapewa uwaziri na kuzibwa midomo. Ahaaahaa!
 
Jumbe brown towashi wa Kardinali Pengo , HAHAHAHHHAHHHHHHHaaa umenaswa pabaya

Sasa nimenaswa wapi?
Abui Gavana huo utowashi nimeonekana nao wapi...
UKIACHA utoto na chuki mbona tutaelewana vema tu akhui....

Ukiangalia AVATAR hapo juu ni Picha yangu...mm si mtu wa makandokando ya kujificha....TOFAUTI na AVATAR yako....
Watu wengi humu ndani wananijua kuwa si GHOST km wewe....

Litaje jina langu sahihi JUMBE BROWN mbele ya vijana wnzngu UVCCM halafu eti waseme miye towashi😂😂😂😂,waulize kina mh.Ngubiagai,Said Sambala,abubakar Asenga,Patrobass Katambi,BEATUS MAFURU,Salum Ally Hapi,waliokuwa TAHLISO kipindi Cha nyuma,waliokuwa shirikisho la vyuo VIKUU dar es salaam etc

Badala ya HOJA unaleta VIROJA VYA kuvimbirwa UROJO looh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…