Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza



James Brown ulipewa na nani hayo majina ??? Usijigeuze Bashite , Hutoki πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Anampenda kwa sababu hana mawazo mbadala.
 
Rais Magufuli amemsifu mgombea urais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, kwamba siku zote alijishusha na "hakubeba Urais wa baba yake."

Ni somo zuri kwa akina Ridhiwani, Freddy na hivi majuzi ameanza kuibuka kwenye media kijana mwingine kwa jina la DUDLEY, ambao wanajigeuza ma prince wakati wa tawala na vyeo vya baba zao.

Na kwa hili namkubali Baba Jesca kwa kuwa watoto wake sio tu hawatii fujo mjini bali hata hatujawahi kuwaona hata kwenye picha...
 
James Brown ulipewa na nani hayo majina ??? Usijigeuze Bashite , Hutoki πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›

Ninaitwa Jumbe Brown jina langu halali nililopewa baada ya kuadhiniwa, kuiKAMIWA na kufanyiwa Haqiqa na wazazi wangu, na SI James usemavyo.....

Abui Gavana miye nimehusiana Sana na ndg.zangu watanzania wenye asili ya Pemba ka weye so najizuia Sana kukushushia makombora...na sitokwenda huko utakako..
 


Mpemba James Brown , The truck turner πŸ˜› πŸ˜› Sorry kumbe ni Jumbe Brown , ile list ya majina alikupa Bashite ??πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Naomba nikuulize swali mkuu. Kwa uelewa wako tume huru ipoje?


Tume huru ni kitu ambacho CCM katu haiwezi kukiruhusu labda mpaka yatokee mauwaji kama kule Kenya . Hii ni kwa sababu wanajua ndio CORONA YAO , YA KUWATOA ULIMWENGUNI

CCM ilishakufa na Nyerere zamani sana . HII MAFIA ILIYOPO INABEBWA NA VYOMBO VYA DOLA BASI
 
Nimewaona Slinde na Nassar wamepanga foleni ya kusubili utezi.
 
Tume huru ni kitu ambacho CCM katu haiwezi kukiruhusu labda mpaka yatokee mauwaji kama kule Kenya . Hii ni kwa sababu wanajua ndio CORONA YAO , YA KUWATOA ULIMWENGUNI

CCM ilishakufa na Nyerere zamani sana
Mbona umejibu tofauti na nilivyouliza? Muundo wa hiyo tume huru unayoililia upoje tofauti na hii ya hapa Tanzania?
 
mwinyi ni dhaifu sana na mwoga ndo maana aliamua kuwa kondoo maana kama angekuwa mwongeaji tu mambo yake mengi yangefahamika

kwa upole wake ( wa uoga) basi wakurungwa nao wamemstili aibu zake.

sema jpm alijua anampiga dongo maalimu kwamba hataki raisi mzee wa kuwa amamwamkia akasahau hata shaini ni mkubwa kwake.
 
Mbona umejibu tofauti na nilivyouliza? Muundo wa hiyo tume huru unayoililia upoje tofauti na hii ya hapa Tanzania?


wanaoshiriki uchaguzi wakae pamoja waamue isiwe Mgombea aweke mwamuzi amtakaye yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…