Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
ππππmamvi kazuga yuko hoi kwa usingizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππmamvi kazuga yuko hoi kwa usingizi
Sasa nimenaswa wapi?
Abui Gavana huo utowashi nimeonekana nao wapi...
UKIACHA utoto na chuki mbona tutaelewana vema tu akhui....
Ukiangalia AVATAR hapo juu ni Picha yangu...mm si mtu wa makandokando ya kujificha....TOFAUTI na AVATAR yako....
Watu wengi humu ndani wananijua kuwa si GHOST km wewe....
Litaje jina langu sahihi JUMBE BROWN mbele ya vijana wnzngu UVCCM halafu eti waseme miye towashiππππ,waulize kina mh.Ngubiagai,Said Sambala,abubakar Asenga,Patrobass Katambi,BEATUS MAFURU,Salum Ally Hapi,waliokuwa TAHLISO kipindi Cha nyuma,waliokuwa shirikisho la vyuo VIKUU dar es salaam etc
Badala ya HOJA unaleta VIROJA VYA kuvimbirwa UROJO looh
Sultan Bin Sultan Seif Sharif Hamad
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli amemchagua Mama Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM
======
MAGUFULI: Sikuujua vizuri uchapakazi wake wakati ule lakini mama huyu, nasema kwa dhati bila unafiki, ni mchapakazi, ana heshima, kila nikimtuma anaenda lakini hata nikimtuma anaenda. Unajua sisi wasukuma tunapenda weupe, unapokuja msaidizi wako ni mweupe, hata kama ulikuwa na stress inapotea.
Kwa hio nimeamua tena, mheshimiwa Samia ndio awe mgombea mwenza katika kipindi cha miaka mitano.
Naomba nikuulize swali mkuu. Kwa uelewa wako tume huru ipoje?Kama CCM hawaibi kura kitu gani kinawafanya wasiweke tume huru ??
James Brown ulipewa na nani hayo majina ??? Usijigeuze Bashite , Hutoki π π π π π π
Akikijibu nitagNaomba nikuulize swali mkuu. Kwa uelewa wako tume huru ipoje?
Haha, Magu ana lugha ya kuudhi sana. Eti kati ya mtu anayegombea miaka yote yeye tu, na huyu anayegombea mara ya kwanza hapo nani ni Sultani?Sultan Bin Sultan Seif Sharif Hamad
Ninaitwa Jumbe Brown jina langu halali nililopewa baada ya kuadhiniwa, kuiKAMIWA na kufanyiwa Haqiqa na wazazi wangu, na SI James usemavyo.....
Abui Gavana miye nimehusiana Sana na ndg.zangu watanzania wenye asili ya Pemba ka weye so najizuia Sana kukushushia makombora...na sitokwenda huko utakako..
Naomba nikuulize swali mkuu. Kwa uelewa wako tume huru ipoje?
CCM wanalo
Mbona umejibu tofauti na nilivyouliza? Muundo wa hiyo tume huru unayoililia upoje tofauti na hii ya hapa Tanzania?Tume huru ni kitu ambacho CCM katu haiwezi kukiruhusu labda mpaka yatokee mauwaji kama kule Kenya . Hii ni kwa sababu wanajua ndio CORONA YAO , YA KUWATOA ULIMWENGUNI
CCM ilishakufa na Nyerere zamani sana
Mbona umejibu tofauti na nilivyouliza? Muundo wa hiyo tume huru unayoililia upoje tofauti na hii ya hapa Tanzania?
Magu heshimu mke wa mtu.MAGUFULI: Unajua sisi wasukuma tunapenda weupe, unapokuja msaidizi wako ni mweupe, hata kama ulikuwa na stress inapotea