Ngwanashigi Gagaga
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 434
- 302
Wanachama wa CCM ni milioni 15, ukiweka wapenzi na wazalendo wa nchi wasiyo na chama ni kama watanzania wote.Uzuri zitasikilizwa na hao hao Ccm wenzao hivyo hatuna cha kupoteza.
Facts.Wakuu kwema ,poleni na hongera kwa majukumu ,Leo ni tarehe 11/07/2020 ambapo CCM wanafanya Mkutano Mkuu ,katika kikao hili kuna watu wawili wamenifurahisha ,Kwanza ni kumuona mzee wetu Lowasa akitoa neno la pongezi kwa Mhesh Rais wetu ,Pili Mzee wetu Mrema alipofanikisha kumchekesha Rais wetu ama kweli wazee ni hazina ya nchi na jamii kwa ujumla.
Tulitaka vitendo kwa maslahi ya umma, tumempata, alichukua fomu mwenyewe akashinda alijiandaa, anatosha!Alikuwa mshindi, au alisukumizwa tu ndani kwa bahati mbaya baada ya JK kumgeuka swahiba wake wa siku nyingi ili apite mteule wake Membe!!
Na hivyo busara ya bora tukose wote ikatumika kimakosa kwa kumpa mamlaka mtu ambaye hakuwa sahihi na pia ambaye hakujiandaa kwa majukumu makubwa kabisa katika nchi!!!
Mbibi komaa na bilionea wako, ebu kaache hako kazee..Njoo huku achana na siasa
Kazi ipo.
Bado ana hangoverMbowe angekuwepo sema ndio hivyo tu ajali haina Kinga
Hako nshakaacha kitambo sanaa..sema nakaita huku buza kwa wenzakeMbibi komaa na bilionea wako, ebu kaache hako kazee..
Pure Negativity, aina ya watu kama wewe huwa ni watu wa kutafuta mabaya tu kwenye kila jambo. Mara nyingi huwa mna matatizo flani flani ya kisaikolojiaNaona waziri mkuu anagombezwa hapa.afanye haraka.
Wanaogopa yaliyomkuta Roma. Ya kutekwa na kuumizwa ni mazito sana wameona bora lipite tu mpaka watakapo zaliwa majasiri kama Gen. wa Malawi aliyeamrisha kura zirudiweAsilimia 98 ya wanamziki wa kisazi kipya wameimba nyimbo kuhusu CCM na Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Huyo, naona ALISHATULIZWA. Jiwe la gizani, naona lilimpata, na kumuumiza!Kigogo atakuwepo atuhabarishe habari za siri?
Mbona wewe hujaipataNaona mmejazana hapo ukumbini kama hakuna Corona vile.