Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Wakuu kwema ,poleni na hongera kwa majukumu ,Leo ni tarehe 11/07/2020 ambapo CCM wanafanya Mkutano Mkuu ,katika kikao hili kuna watu wawili wamenifurahisha ,Kwanza ni kumuona mzee wetu Lowasa akitoa neno la pongezi kwa Mhesh Rais wetu ,Pili Mzee wetu Mrema alipofanikisha kumchekesha Rais wetu ama kweli wazee ni hazina ya nchi na jamii kwa ujumla.
Facts.
 
Alikuwa mshindi, au alisukumizwa tu ndani kwa bahati mbaya baada ya JK kumgeuka swahiba wake wa siku nyingi ili apite mteule wake Membe!!

Na hivyo busara ya bora tukose wote ikatumika kimakosa kwa kumpa mamlaka mtu ambaye hakuwa sahihi na pia ambaye hakujiandaa kwa majukumu makubwa kabisa katika nchi!!!
Tulitaka vitendo kwa maslahi ya umma, tumempata, alichukua fomu mwenyewe akashinda alijiandaa, anatosha!
 
Vipaumbele vya Ilani

Utu
Uchumi
Kilimo,mifugo na uvuvi
Huduma za jamii
Matumizi ya Utafiti
Ajira
 
Bismarck akiongoza wenzie jinsi ya kunufaika na kodi,raslimali za wabongo
 
Naona waziri mkuu anagombezwa hapa.afanye haraka.
Pure Negativity, aina ya watu kama wewe huwa ni watu wa kutafuta mabaya tu kwenye kila jambo. Mara nyingi huwa mna matatizo flani flani ya kisaikolojia
 
Habari wakuu,

Ninekuja mtembelea jamaa yangu hapa nimemkuta anafuatilia mkutano wa CCM na zoezi la upigaji kura liko linafanyika huko. Kilichonichekesha katika zoezi hili ni:

1. Hakuna usiri
2. Wajumbe wanapigiana kura (nimeona mmoja anapiga kwa niaba ya mwenzake)
3. Maandalizi hayakuwa vizuri (kuna uchache wa peni ) naona wana azimana tu, hawajui hata walienda fanya nini.
4. Naona watu wanatumia kujitangaza, baada ya kupiga kura wanajionesha ili teuzi zipite kwao.
5. Ukusanyaji wa kura ni vichekesho

kifupi, sijaona cha maana katika hili zoezi; liko kiswahili swahili sana.
 
Mkutano Mkuu
Tuliomba mturudishie Magufuri fanyeni hivyo kwa mslahi mapana ya Taifa Mungu atawalipa.
 
Andaa zoezi la uchaguzi la nyumbani kwako na uliandae vyema. Hakikisha mapungufu yote uliyoyaona, unayaepuka ili hatimaye kumpata mgombea bora wa nyumba yako.
 
Back
Top Bottom