Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Kabisa mkuu.
 
Nilisha kwambia hii hoja ya udikteta kwasasa haina mashiko mkuu achana nayo tu.
Hebu tuachane na hayo kwanza mkuu msikilize mh hapo kipenzi cha watu.

Of course hii hoja ya udictator inaumiza kwa mtu unayemsujudia, lakini ukweli huwa una tabia ya kuumiza.
 
Kuna jamaa anasema eti wajumbe wa Zanzibar walikuwa 35, na wa bara walikuwa 129, huku Mwinyi akipata 129. Je hiyo ni kuwa wazanzibari wanachaguliwa kiongozi na Tanganyika?

Walitaka wenyewe , mchimba kisima huingia shimoni
 
Bashiru aache,unafiki anasema hakukuwa na mgombea mwingine aliechukua fomu ya kugombea wakati walichapisha fomu moja.
 
Hayo ni umbea tu kama kuna mtu huko CCM atalalamika ni sawa lakini kama wao hawajaona shida wewe pilipili ya nini?
Demokrasia ni pamoja na kuamini uhuru unaompa mtu kukuwakilisha ukiwa umemuamini kwa kila jambo.
wataona vp na hawana macho ya kuona
 
Mnasema sijui Sultan.......

Hivi Sultan ni Nani Kati ya Dr Hussein Mwinyi na WEWE...WEWE...WEWE unayeshiriki Uchaguzi kila siku miaka nenda rudi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sia

Siasa si uadui km mnavyotaka iwe.....

Mrema alikuwa CCM....
Lipumba naye......

Lakini pia mkutano mkuu wa CCM unawaalika wanasiasa wa upinzani.

Chukua hiyo.

πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
UTOPOLO wao uishie huko huko kwenye UTANI wasije kuleta kwenye uhalisia!!! Nyerere kuanzisha miaka 10 sio mjinga,Mwinyi,JK,BWM sio wajinga maana hawajaongeza muda!!
 
Wengine wametoka wanalia
 
Kwa hali hii alafu uje kusema eti ccm wanaiba kura sijui aah hapana hilo nitakataa milele.
 
Mnasema sijui Sultan.......

Hivi Sultan ni Nani Kati ya Dr Hussein Mwinyi na WEWE...WEWE...WEWE unayeshiriki Uchaguzi kila siku miaka nenda rudi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Kwani uliikatazwa kuchukuwa form ?? Mwanachama mwenzenu alijaribu kwenda kuchukuwa Form Kisiwandui alichezea kichapo cha mbwa koko mpaka leo yuko hospitali hajitambui wiki ya pili sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…