kabwe katal
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 264
- 289
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britaniccamkuu taarifa zako n
Taarifa zako ni za uhakika ulituambia july kuna jambo litatokea kweli limetokea.tupe codes za october mkuu.Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Msoga ndio anammaliza mama kimya kimya.inaitwa silent killer.Unaota. Hakuna kitakachoshindikana ikiwa Msoga yuko nasi bega kwa bega.
Mama mitano tena!
Mungu mkubwa.Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Msomi asiyejua kuwa muda unanena!!??Na msomi asiyeamini katika ramli za kupasua nazi njiapanda! Ahahahahaha!!!
Katiba ya Tanzania inaelekeza kuwa Waziri anakoma uwaziri wake mara tu Rais mpya anapomaliza kuapishwa.Mimi mwenyewe nimeshangaa hii kitu wakati Bi Dorothy Gwajima anapiga kazi kaweka tangazo la kikao na wafanya biashara wadogo.
Bwana Mchengerwa alienda Jimbo la Ukonga majauzi tu kukagua mradi wa barabara.
misasa fuatilia vizuri mkuu.
Sio kweli kwamba chochote kinawezekana duniani. Nikuulize;Msomi asiyejua kuwa muda unanena!!??
Msomi asiyejua kuwa duniani, chochote kinawezekana wakati wowote!!!??
Tawire tawire.Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Kamati kuuMkutano mkuu au kamati kuu?
Jambo. Gani tena?Mange Kimambi kaja na jambo la moto kweli kweli muda si mrefu
SourceView attachment 3414997
Tena ni 22/08/2025 ni mwezi kutoka sasa jambo kubwa linakuja
Hii ratiba mbona ilitolewa siku nyingi tu, kipindi kile mchakato wa kutia nia unaanza???View attachment 3414997
Tena ni 22/08/2025 ni mwezi kutoka sasa jambo kubwa linakuja
Mahut-hut warundi ndiyo hutamka hivyo siku nyingi tuBasi muulize, yeye ndiye alianzisha hilo neno.
Btw, mko wapi, kitambaa cheupe?
View attachment 3414997
Tena ni 22/08/2025 ni mwezi kutoka sasa jambo kubwa linakuja