Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Bunge kwani rasmi linavunjwa tarehe ngapi, vip michakato unaoendelea kabla ya bunge kuvunjwa,ni halali kikatiba na kichama?
 
Mwaka huu kampeni hakuna???
 
Who did this?
Nyerere and all did this ...wanao pinga ikulu kukaliwa na wahuni na makahaba ikulu ni sehemu takatifu siyo pango la wezi na wapumbavu wanao amini wao wakila na kunya💩💩💩 ndiyo wamefungua nchi .
 
Mbona wamesema ni kesho au wanataka kubadilisha vifungu kwenda kuhararisha walichopanga kukifanya hiyo tarehe britanicca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…