Health Insurance ndio priority kwangu.
Maisha ya watanzania ni magumu. Hela za kulipia hospitali kila tunapougua hatuna. Serikali iboreshe sector ya afya na kuanzisha bima ya afya. Hata kama itaendelea kutoa huduma duni, lakini tuwe na uhakika wa kutibiwa. Hichi ni kitu cha msingi sana kama serikali inania ya dhati kuwakomboa wananchi wake.
Kuongeza wigo wa mapato na kudhibiti matumizi.
Nimefurahi kuanzishwa kwa zile cash register ambazo wauzaji hawawezi kukwepa kodi. Ubunifu wa aina hiyo ndo unahitajika continuously pale TRA. sio kila siku kuongeza kodi kwenye soda, bia na sigara.
Tatizo la serikali ni kwenye matumizi. Vitu vinavyofanyika serikalini havina value for money.
Kama mimi ndo ningekuwa Rais; ningeongeza mishahara ya wafanyakazi wote serikali
kima cha chini 1mil, watakaoa kuwa kwenye managerial levels, kima cha chini 2mil depending na sector.
Kwanini niongeze mishahara kiasi hicho?
Tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika sector ya elimu. Walimu ndo wanatakiwa wawe watu wanaolipwa vizuri kuliko wafanyakazi wa maofisini. Ila hayo malipo mazuri yaanze baada ya mabadiliko yafuatayo
Kwa ufupi mambo makuu matatu ambayo ntapenda Kiongozi atakae ingia madarakani ayasimamie ni
Healthy Insurance
Ukusanyaji na usimamizi madhubuti wa matumizi ya serikali
ELimu ya bure ambayo ni bora kwa watanzania wote kuanzia shule za awali mpaka kidato cha 4

- Kupanua wigo wa kodi
- Kuyaongezea uwezo mashirika kama NSSF, PSPF, PPF yaweze kufanya kazi za maendeleo zaidi kwasababu yana usimamizi mzuri. Hii itatokana na michango ya wanachama. Tunajua ni jinsi haya mashirika yanavyotumika kuleta maendeleo kila sehemu ya dunia.
- Kuboresha maisha watanzania
- Kupunguza uombaji wa rushwa kwa wafanyakazi wa serikalini
- Ku-attract talented individuals wajitokeze kuifanyia kazi nchi yao
- Kufuta allowances zote za vikao, ili watu wakae ofisini kufanya kazi
- Kununua magari yasiyozidi CC 2500 kwa watumishi wote wa serikali wanapohitaji kuwa na magari ya serikali
- Kufuta marupurupu ya safari za nje - ambapo mfanyakazi yeyote wa serikalini mpaka kufikia level flani, akisafiri nje ya nchi, tulipa gharama zake based on actual cost. Akiwa anafanya retirement aambatinishe na vithibitsho ya fedha aliyotumia inayobaki anarudisha hazina. Hiyo itapunguza sana demand ya USD. Safari za ndani zitaendelea kuwa na allowances kwasababu zinatija
Tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika sector ya elimu. Walimu ndo wanatakiwa wawe watu wanaolipwa vizuri kuliko wafanyakazi wa maofisini. Ila hayo malipo mazuri yaanze baada ya mabadiliko yafuatayo
- Walimu wachaguliwe kutoka wanafunzi waliofauru vizuri na sio failures: Huwezi kumchukua mwanafunzi aliye fail F4 akapata course ya miezi 3 aje kufundisha ukitegemea utapata taifa lenye watu wasomi na wenye uwezo mkubwa wa kufikiri. Tunaiua nchi yetu bila wenyewe kujua
- Upimaji wa ubora waalimu uwe unafanyika, na ndio kiwe kigezo cha malipo. Sio shule kila siku inakuwa imejaza Div 4 halafu mwalimua wa hiyo shule awe analipwa sawa na anafaulisha vizuri.