Bruno Toto
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 477
- 546
Rais hachaguliwi Dodoma, Rais atachaguliwa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar, Dodoma linachaguliwa jina la Mgombea Urais wa ZANZIBAR pamoja na TANZANIA kupitia chama cha Mapinduzi sababu Dodoma ndipo yalipo Makao Makuu ya Chama.
Wazanzibari hata siwaelewi; yaani wana jeshi, mahakama, wimbo wa taifa lao, na bunge.
Lakini pamoja na mbwembwe zao zote hizo, Rais wao anachaguliwa Dodoma, Tanzania Bara, sijui wanakwama wapi?!.
Hii ni sawa na baba wa familia kuwa na nyumba yako, unaacha pesa ya matumizi kila siku, lakini chakula kinapikwa kwa jirani, na umeshazoea kwenda kula huko.
Mzee Mgaya anafuatilia
johnthebaptist,
Mnataka kumpa kiti Hussein mwinyi bora hata mgempa Jecha mnalisishana vyeo ili muibe Mali za watz.
Mbona hakuna updates?Leo Halmashauri Kuu ya CCM inapokea mapendekezo ya Kamati Kuu kuhusiana na waliopendekezwa kugombea Urais wa JMT na ule wa Zanzibar.
Kadhalika itapokelewa ripoti ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa miaka 5 iliyopita na kupitishwa ilani ya miaka 5 ijayo.
Up dates;
Maendeleo hayana vyama
Mbaya ni kuwa unaweza kukuta ana miliki kadi ya CCM yeye na ndugu zake wote watakao kaa kulia pamoja naye juu ya mkasa huo alio tendewa.Kuna kijana amezuiwa kupewa maiti ya mkewe hapo Muhimbili National Hospital mpaka atakapolipa shilingi 1,470,800.
Wasamaria walimsaidia kuchimba kaburi ili amhifadhi marehemu mkewe lakini kutokana na kuwekewa ngumu na serikali ya wanyonge, wamelazimika kufukia kaburi kisha kumchangia fedha za nauli kijana huyo ili arejee kwao Mtwara...
Mbaya ni kuwa unaweza kukuta ana miliki kadi ya CCM yeye na ndugu zake wote watakao kaa kulia pamoja naye juu ya mkasa huo alio tendewa.Kuna kijana amezuiwa kupewa maiti ya mkewe hapo Muhimbili National Hospital mpaka atakapolipa shilingi 1,470,800.
Wasamaria walimsaidia kuchimba kaburi ili amhifadhi marehemu mkewe lakini kutokana na kuwekewa ngumu na serikali ya wanyonge, wamelazimika kufukia kaburi kisha kumchangia fedha za nauli kijana huyo ili arejee kwao Mtwara.
Hivi sasa huyo bwana yuko njiani akielekea makwao akiwa amebeba kichanga cha wiki tatu na maiti ya mkewe ikiendelea kushikiliwa hapo Muhimbili.
Huyu ni mmoja kati ya wapiga kura mnaowategemea. Kwa hakika hakuna chama cha kidhalimu duniani kinachoweza kuishinda CCM.
Kama umeguswa wasiliana na huyu mnyonge anayeteseka kwa kunyimwa mwili wa mpendwa wake kwa namba ya simu 0778 140 361
Kwanza huo mkutano una faida gani kwangu mimi ninayehangaika kupata sh.20,000 ya ada ya mwanafunzi wangu wa hii shule ya kata isiyo hata na mwalimu?Umekosa mvuto wakati wewe umevutika kuja kuchangia hapa!
Macho na masikio yote Dodoma wikiendi hii
1.) Kukamilisha mchakato wa katiba mpyaAinisha mambo matano tu abayo yamo kwenye ilani,lakini hayajatekelezwa
Mchakato uneshapolwa na Tanganyika,Koroni lao Zanzibar wamebaki wapiga makofi.Mwaka huu hata hakuna amsha amsha kama 2015
Kapigwa chini 3 bora, ni Mwinyi, Nahodha na KhalidMakame Mbarawa ndio rais ajae wa Zanzbar
Makame Mbarawa ndio rais ajae wa Zanzbar
Dr Khalid Salum MohammedKapigwa chini 3 bora, ni Mwinyi, Nahodha na Khalid