Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Wala HAKUNA haja ya kutumia maneno makali ya kukata na kuondoa utu wa makomredi wetu waliopita....

Simply Zanzibar ni VISIWA.....

VISIWANI HAKUNA HISTORIA YA KUKAA BINADAMU...

BINADAMU wameumbiwa BARA na kusambaa mpaka VISIWANI......

Makabila yote ya kule ni WAHAMIAJI...wengi kutoka TANGANYIKA.

DODOMA NI NYUMBANI HASA KWA "ZANZIBAR".
 
RAIS WA ZANZIBAR NA WA BARA LAZIMAAA ATOKE CCM,.

BREAKING NEWS: "Majina matatu ya wanachama wa CCM yaliyopendekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuwania urais Zanzibar ni; Khalid Salim Mohammed, Dkt. Husseihn Ally Hassan Mwinyi na Ndg. Shamsi Vuai Nahodha."
 
Umri,uwezo wa kufanya vizuri bara na Zanzibar na kutokuwa na makundi na kuimarisha muungano ndio vigezo vikuu Mwinyi umri unaruhusu na kafanya vizuri kote Zanzibar na bara.Hana makundi tishio la kusambaratisha CCM au kuigawa ,mpenda muungano huu uliopo wa serikali mbili na umri bado ana nguvu Yuko fit .Anapewa bila uraisi Zanzibar bila shida
 
Mzee Mwinyi hajawahi kuwa mwizi hata kidogo. Hussein atatoa wapi tabia hiyo. Tuwe wakweli wanazengo

Kama hujui kaa kimya ; Mzee Mwinyi alikuwa na interest pale Whitesands Hotel halafu aliuza share zake baada ya kustaafu na mwanae Hussein ni mfanyabiashara mzuri wakishirikiana na mdogo wake Abdallah!! Uliza uambiwe interest ya wakina Mwinyi kwenye kampuni ya mafuta ya SWALA energy. Hussein ni mfanyabiashara zaidi kuliko kuwa mwanasiasa.
 
Kwamba watakao teuliwa kw zenj na bara tyri ni marais hakutomua na kizuizi kingine.
Hongera kwao.
 
Ainisha mambo matano tu abayo yamo kwenye ilani,lakini hayajatekelezwa
1. Kiapo cha utii wa sheria na Katiba
2. Mahakama ya Mafisadi
3. Mil 50 kila kijiji
4. Laptop kwa kila mwalimu
5. Ajira kwa vijana
6 Kuboresha maslahi ya wafanyakazi

Niendeleeee?
 
Itakua kakatwa na viongozi wakuu.. maana wajumbe hawajapiga kura
Wametaja majina matano then wakataja hayo matatu
Kwa mujibu wa mwenyeketi (magufuli) Kamati maalumu ndo iliyadiscuss hayo majina matano na kupata hayo matatu
Asante,hapo nimeelewa.
 
Itakuwa Mbarawa kaangushwa na timing.

Hao waliopita wote ni Unguja au kuna mpemba hata mmoja?

Pamoja na kwamba hao wengine siwajui vyema,bado Mwinyi siyo mtu sahihi kwa wakati huu.

Hana record ya kufanya vibaya au kufanya vizuri means hana record ya kufanya maamuzi kote alikopita.

Mwinyi ni version ya Shein aliyezubaa zaidi.
 
Mungu afanye kila mbinu, Nahodha ashinde, ni mtoto wa mnyonge, mwenye msimamo sahihi na si kuridhishana uongozi, mm sipendi Mwinyi apite sababu itaonekana wazi baba yake ndio anambeba
Mwinyi atapata sababu ya jina tu. Kuna mtu kaandika kuwa Nahodha hakuwemo kwenye majina matano,ila kaja kutokea kwenye majina matatu. Ni kweli hii ?
 
 
I wish Nahodha ashinde. Ila nafasi kubwa kushinda ipo kwa Hussein kutokana na Surname yake.
 
Kwanini raisi wa Znz acteuliwe Dodoma?
Kwanini hili lisingeachwa kwa wazanzibar wenyewe?
 
1.Lap top kwa kila mwanafunzi ;
2.Mil 50 kwa kila kijiji;

NIENDELEEE MKUU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…