Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Watanzania ama tuu vipofu, au uzembe umetuzagaa akilini hata hatujui la maana isipokuwa ubishi.

Tokea Lini Zanzibar wamejichagulia kiongozi wao wenyewe. Jibu ni hakuna na haijatokea.

Karume aliwekwa na Nyerere, Karune hakuhusika na mapinduzi directly, kwanza alikuwa kunguru.aliwekwa na nyerere.

Jumbe na wa baada yake pia waliwekwa na nyerere. Na wote waliofuatia hadi Shain wa leo wamekwa na Raisi wa JMT, yaani Mwinyi, Mkapa, Kikwete na leo Magufuli. Hamuoni hata mzee mwinyi alivyokuwa amejivunjia hadhi kumbembeleza Magufuli amchague mwanae awe raisi.

Tusijidanganye Zanzibar hawana ubavu wa kumchagua Raisi, na Maalim Seif hataweza kuwa Raisi hata apate 70% ya kura. HAITATOKEA LABDA ARUDI CCM
Wala HAKUNA haja ya kutumia maneno makali ya kukata na kuondoa utu wa makomredi wetu waliopita....

Simply Zanzibar ni VISIWA.....

VISIWANI HAKUNA HISTORIA YA KUKAA BINADAMU...

BINADAMU wameumbiwa BARA na kusambaa mpaka VISIWANI......

Makabila yote ya kule ni WAHAMIAJI...wengi kutoka TANGANYIKA.

DODOMA NI NYUMBANI HASA KWA "ZANZIBAR".
 
RAIS WA ZANZIBAR NA WA BARA LAZIMAAA ATOKE CCM,.

BREAKING NEWS: "Majina matatu ya wanachama wa CCM yaliyopendekezwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuwania urais Zanzibar ni; Khalid Salim Mohammed, Dkt. Husseihn Ally Hassan Mwinyi na Ndg. Shamsi Vuai Nahodha."
IMG_20200710_121440_333.jpg
 
Umri,uwezo wa kufanya vizuri bara na Zanzibar na kutokuwa na makundi na kuimarisha muungano ndio vigezo vikuu Mwinyi umri unaruhusu na kafanya vizuri kote Zanzibar na bara.Hana makundi tishio la kusambaratisha CCM au kuigawa ,mpenda muungano huu uliopo wa serikali mbili na umri bado ana nguvu Yuko fit .Anapewa bila uraisi Zanzibar bila shida
 
Mzee Mwinyi hajawahi kuwa mwizi hata kidogo. Hussein atatoa wapi tabia hiyo. Tuwe wakweli wanazengo

Kama hujui kaa kimya ; Mzee Mwinyi alikuwa na interest pale Whitesands Hotel halafu aliuza share zake baada ya kustaafu na mwanae Hussein ni mfanyabiashara mzuri wakishirikiana na mdogo wake Abdallah!! Uliza uambiwe interest ya wakina Mwinyi kwenye kampuni ya mafuta ya SWALA energy. Hussein ni mfanyabiashara zaidi kuliko kuwa mwanasiasa.
 
Kwamba watakao teuliwa kw zenj na bara tyri ni marais hakutomua na kizuizi kingine.
Hongera kwao.
 
Ainisha mambo matano tu abayo yamo kwenye ilani,lakini hayajatekelezwa
1. Kiapo cha utii wa sheria na Katiba
2. Mahakama ya Mafisadi
3. Mil 50 kila kijiji
4. Laptop kwa kila mwalimu
5. Ajira kwa vijana
6 Kuboresha maslahi ya wafanyakazi

Niendeleeee?
 
Itakua kakatwa na viongozi wakuu.. maana wajumbe hawajapiga kura
Wametaja majina matano then wakataja hayo matatu
Kwa mujibu wa mwenyeketi (magufuli) Kamati maalumu ndo iliyadiscuss hayo majina matano na kupata hayo matatu
Asante,hapo nimeelewa.
 
Itakuwa Mbarawa kaangushwa na timing.

Hao waliopita wote ni Unguja au kuna mpemba hata mmoja?

Pamoja na kwamba hao wengine siwajui vyema,bado Mwinyi siyo mtu sahihi kwa wakati huu.

Hana record ya kufanya vibaya au kufanya vizuri means hana record ya kufanya maamuzi kote alikopita.

Mwinyi ni version ya Shein aliyezubaa zaidi.
 
Mungu afanye kila mbinu, Nahodha ashinde, ni mtoto wa mnyonge, mwenye msimamo sahihi na si kuridhishana uongozi, mm sipendi Mwinyi apite sababu itaonekana wazi baba yake ndio anambeba
Mwinyi atapata sababu ya jina tu. Kuna mtu kaandika kuwa Nahodha hakuwemo kwenye majina matano,ila kaja kutokea kwenye majina matatu. Ni kweli hii ?
 
Hilo nililisema sana mara nyingi humu watu hawanielewi. raisi wa Zenj anapatikana chamwino wazanznibari wananyimwa haki yao,Zanzibar ni koloni la ccm Tanganyika
[/QUOTU

Ukisema ni koloni UNAKUWA umeamua kuwatukana na kudhalilisha watu....

Narudia tena,WAZANZIBARI wote ni WAHAMIAJI....makabila yote ya tanganyika toka bara na ukanda wa pwani....
Toka Mombasa Malindi mpaka Sofala.....

WAKIONGOWA NA WAMAKONDE WANDENGEREKO WANGONI NA WAMATUMBI.

DODOMA NI NYUMBANI KWA WAZANZIBARI kabla hata ya waajemi washirazi na waarabu kuja....

DODOMA NI NYUMBANI KWA WAZANZIBARI kabla hata ya wareno wajerumani na waingereza kuja...

DODOMA NI NYUMBANI KWA WAZANZIBARI Kabla hata ya SHAMTE kuwa waziri mkuu....

DODOMA NI NYUMBANI KWA WAZANZIBARI kabla hata ya JAMSHID kudundwa,kupanda jahazi kuja Dar na baadae kupewa hifadhi kwa marafiki zao UINGEREZA....

NI undwanye ufulafula UHOBOBO uzwazwa kuleta CHOKOCHOKO ZA KUWABAGUA WATANZANIA KWA MISINGI YA RANGI UKANDA ASILI AMA DINI....
 
Itakuwa Mbalawa kaangushwa na timing.

Hao waliopita wote ni Unguja au kuna mpemba hata mmoja?

Pamoja na kwamba hao wengine siwajui vyema,bado Mwinyi siyo mtu sahihi kwa wakati huu.

Hana record ya kufanya vibaya au vyema means hana record ya kufanya maamuzi kote alikopita.

Mwinyi ni version ya Shein aliyezubaa zaidi.
I wish Nahodha ashinde. Ila nafasi kubwa kushinda ipo kwa Hussein kutokana na Surname yake.
 
Kwanini raisi wa Znz acteuliwe Dodoma?
Kwanini hili lisingeachwa kwa wazanzibar wenyewe?
 
1.uk.7 Ajira million walizoahidi
2.uk.14 Hekta million 2 kilimo cha kisasa
3. Uk 24 mliahidi Meli 10 kubwa za uvuvi ili zilete ajira kwa vijana elfu 30?
4. Wajasirimiali wadogo kunufaika na DSE!!
5. Uk 31 Viwanda vitatoa 40% ya ajira zote!!
Niendelee mkuu?
1.Lap top kwa kila mwanafunzi ;
2.Mil 50 kwa kila kijiji;

NIENDELEEE MKUU?
 
Back
Top Bottom