Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Wala HAKUNA haja ya kutumia maneno makali ya kukata na kuondoa utu wa makomredi wetu waliopita....Watanzania ama tuu vipofu, au uzembe umetuzagaa akilini hata hatujui la maana isipokuwa ubishi.
Tokea Lini Zanzibar wamejichagulia kiongozi wao wenyewe. Jibu ni hakuna na haijatokea.
Karume aliwekwa na Nyerere, Karune hakuhusika na mapinduzi directly, kwanza alikuwa kunguru.aliwekwa na nyerere.
Jumbe na wa baada yake pia waliwekwa na nyerere. Na wote waliofuatia hadi Shain wa leo wamekwa na Raisi wa JMT, yaani Mwinyi, Mkapa, Kikwete na leo Magufuli. Hamuoni hata mzee mwinyi alivyokuwa amejivunjia hadhi kumbembeleza Magufuli amchague mwanae awe raisi.
Tusijidanganye Zanzibar hawana ubavu wa kumchagua Raisi, na Maalim Seif hataweza kuwa Raisi hata apate 70% ya kura. HAITATOKEA LABDA ARUDI CCM
Simply Zanzibar ni VISIWA.....
VISIWANI HAKUNA HISTORIA YA KUKAA BINADAMU...
BINADAMU wameumbiwa BARA na kusambaa mpaka VISIWANI......
Makabila yote ya kule ni WAHAMIAJI...wengi kutoka TANGANYIKA.
DODOMA NI NYUMBANI HASA KWA "ZANZIBAR".