Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Wazanzibari hata siwaelewi; yaani wana jeshi, mahakama, wimbo wa taifa lao, na bunge.

Lakini pamoja na mbwembwe zao zote hizo, Rais wao anachaguliwa Dodoma, Tanzania Bara, sijui wanakwama wapi?!.

Hii ni sawa na baba wa familia kuwa na nyumba yako, unaacha pesa ya matumizi kila siku, lakini chakula kinapikwa kwa jirani, na umeshazoea kwenda kula huko.
Makamu mwenyekiti wa chama Cha chadema Zanzibar alichaguliwa Dar es salaam na wajumbe wa mkutano mkuu ukioshirikisha wajumbe wa Tanzania bara ambao sio wanzanxibari

Makamu mwenyekiti wa ACT wazalendo wa Zanzibar alichaguliwa Tanzania bara wapiga kura wa ACT wazalendo wakishirikishwa ambao Ni watanzania bara

Maalim Seif fomu ya ugombea uraisi biwa Tiketi ya ACT wazalendo alipewa na katibu mkuu wa ACT wazalendo mtanzania bara Ado Shaibu

Makao makuu ya vyama vyote vikubwa yako Tanzania bara kuanzia CCM, Chadema,ACT wazalendo ,CUF unashangaa Nini? Viongozi wakuu wote wa vyama vikuu huchaguliwa Tanzania bara sembuse wagombea uraisi
 
Hussein Ali Hassan Mwinyi
Shamsi Vuai Naodha
Dr. Khalid
 
Wazanzibari hata siwaelewi; yaani wana jeshi, mahakama, wimbo wa taifa lao, na bunge.

Lakini pamoja na mbwembwe zao zote hizo, Rais wao anachaguliwa Dodoma, Tanzania Bara, sijui wanakwama wapi?!.

Hii ni sawa na baba wa familia kuwa na nyumba yako, unaacha pesa ya matumizi kila siku, lakini chakula kinapikwa kwa jirani, na umeshazoea kwenda kula huko.
Hawajitambui acha CCM iwakaange kwa mafuta yao.
 
Watanzania ama tuu vipofu, au uzembe umetuzagaa akilini hata hatujui la maana isipokuwa ubishi.

Tokea Lini Zanzibar wamejichagulia kiongozi wao wenyewe. Jibu ni hakuna na haijatokea.

Karume aliwekwa na Nyerere, Karune hakuhusika na mapinduzi directly, kwanza alikuwa kunguru.aliwekwa na nyerere.

Jumbe na wa baada yake pia waliwekwa na nyerere. Na wote waliofuatia hadi Shain wa leo wamekwa na Raisi wa JMT, yaani Mwinyi, Mkapa, Kikwete na leo Magufuli. Hamuoni hata mzee mwinyi alivyokuwa amejivunjia hadhi kumbembeleza Magufuli amchague mwanae awe raisi.

Tusijidanganye Zanzibar hawana ubavu wa kumchagua Raisi, na Maalim Seif hataweza kuwa Raisi hata apate 70% ya kura. HAITATOKEA LABDA ARUDI CCM
 
Magufuli anaonewa Sana huyu baba...
Wanamsingizia mengi ya hovyo....

Haya Sasa Waliosema Prof.Mbarawa ni MGOMBEA WAKE....wapi wataficha sura zao daah...

KIDOGOKIDOGO ukweli wa thamani ya magufuli unaonekana na UTAZIDI KUONEKANA.....

MAPINDUZI DAIMA.
Umesahau hata Membe alikuwa mgombea wa JK ?Ila hakupita. Ni wazi kuwa Mbarawa alikuwa mgombea wa Magufuli.
 
Why Mbarawa kura hazijatosha au kakatwa ?
Itakua kakatwa na viongozi wakuu.. maana wajumbe hawajapiga kura
Wametaja majina matano then wakataja hayo matatu
Kwa mujibu wa mwenyeketi (magufuli) Kamati maalumu ndo iliyadiscuss hayo majina matano na kupata hayo matatu
 
Back
Top Bottom