YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Makamu mwenyekiti wa chama Cha chadema Zanzibar alichaguliwa Dar es salaam na wajumbe wa mkutano mkuu ukioshirikisha wajumbe wa Tanzania bara ambao sio wanzanxibariWazanzibari hata siwaelewi; yaani wana jeshi, mahakama, wimbo wa taifa lao, na bunge.
Lakini pamoja na mbwembwe zao zote hizo, Rais wao anachaguliwa Dodoma, Tanzania Bara, sijui wanakwama wapi?!.
Hii ni sawa na baba wa familia kuwa na nyumba yako, unaacha pesa ya matumizi kila siku, lakini chakula kinapikwa kwa jirani, na umeshazoea kwenda kula huko.
Makamu mwenyekiti wa ACT wazalendo wa Zanzibar alichaguliwa Tanzania bara wapiga kura wa ACT wazalendo wakishirikishwa ambao Ni watanzania bara
Maalim Seif fomu ya ugombea uraisi biwa Tiketi ya ACT wazalendo alipewa na katibu mkuu wa ACT wazalendo mtanzania bara Ado Shaibu
Makao makuu ya vyama vyote vikubwa yako Tanzania bara kuanzia CCM, Chadema,ACT wazalendo ,CUF unashangaa Nini? Viongozi wakuu wote wa vyama vikuu huchaguliwa Tanzania bara sembuse wagombea uraisi