johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lolote linaweza kutokea!I wish Nahodha ashinde. Ila nafasi kubwa kushinda ipo kwa Hussein kutokana na Surname yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lolote linaweza kutokea!I wish Nahodha ashinde. Ila nafasi kubwa kushinda ipo kwa Hussein kutokana na Surname yake.
Is it true kuwa Nahodha hakuwemo kwenye tano bora ?Lolote linaweza kutokea!
SI kweli..Mwinyi atapata sababu ya jina tu. Kuna mtu kaandika kuwa Nahodha hakuwemo kwenye majina matano,ila kaja kutokea kwenye majina matatu. Ni kweli hii ?
...inawezeka hata Dr Khalid.Lolote linaweza kutokea!
Mwenye akili baba yako....wazanzibari hawana akili
Si kweli, hao wa3 wametoka kwenye hao 5Mwinyi atapata sababu ya jina tu. Kuna mtu kaandika kuwa Nahodha hakuwemo kwenye majina matano,ila kaja kutokea kwenye majina matatu. Ni kweli hii ?
Hilo nililisema sana mara nyingi humu watu hawanielewi. raisi wa Zenj anapatikana chamwino wazanznibari wananyimwa haki yao,Zanzibar ni koloni la ccm Tanganyika
Hapana. Nahodha alikuwapo kwenye 5 bora. And most likely atapitishwa.Is it true kuwa Nahodha hakuwemo kwenye tano bora ?
Wote wana nafasi sawa!...inawezeka hata Dr Khalid.
1'viongozi wote wanaapa na wanatii ndio mana wapo madarakani1. Kiapo cha utii wa sheria na Katiba
2. Mahakama ya Mafisadi
3. Mil 50 kila kijiji
4. Laptop kwa kila mwalimu
5. Ajira kwa vijana
6 Kuboresha maslahi ya wafanyakazi
Niendeleeee?
Mwinyi yupo juuWote wana nafasi sawa!
Chadema wanachagua mgombea kwa kuwinda watu kama wanatafuta dawa poriniCcm Demokrasia ni Kubwa mno
I wish Nahodha apite,but tatizo Mwinyi atapita sababu ya surname yake.Hapana. Nahodha alikuwapo kwenye 5 bora. And most likely atapitishwa.
Mwinyi atapata sababu ya jina tu. Kuna mtu kaandika kuwa Nahodha hakuwemo kwenye majina matano,ila kaja kutokea kwenye majina matatu. Ni kweli hii ?