Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Kwa huu uwazi uliopo lolote linaweza kutokea, sidhani kama Kuna mtu amepangwa hapa.
 
Hilo nililisema sana mara nyingi humu watu hawanielewi. raisi wa Zenj anapatikana chamwino wazanznibari wananyimwa haki yao,Zanzibar ni koloni la ccm Tanganyika

SI kweli....acheni UPOPOMA....

Kwani MAKAO MAKUU YA CCM yapo Kisonge ee?!!!!
 
1. Kiapo cha utii wa sheria na Katiba
2. Mahakama ya Mafisadi
3. Mil 50 kila kijiji
4. Laptop kwa kila mwalimu
5. Ajira kwa vijana
6 Kuboresha maslahi ya wafanyakazi

Niendeleeee?
1'viongozi wote wanaapa na wanatii ndio mana wapo madarakani
2.Hakuna utawala uliishughulika na mafisadi kama huu.Mafisadi yametemeshwa bilioni 200 yalizokwapua na mengi bado yapo jela
3.Tumetoa mikopo ya vijana na akina mama kupitia halmashauri zao na mikopo inaendelea,kila halmshauri imeamriwa kutenga asilimia moja ya pato kwa ajili hiyo
4.ahadi hiyo sikuisikia
5.zaidi ya ajira milioni moja zimezalishwa kutokana na kufunguliwa viwanda vipya zaidi ya 1500 nchi nzima
6.$erikali imeendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi wake na kuimarisha mazibgira ya kufanyia kazi
 
Kupoteza tu muda, wote tushajua Rais ajaye Zanzibar ni Husein Mwinyi, Nakaribisha wanaobisha na wawe tayari kubet.
 
Mwinyi atapata sababu ya jina tu. Kuna mtu kaandika kuwa Nahodha hakuwemo kwenye majina matano,ila kaja kutokea kwenye majina matatu. Ni kweli hii ?

Naaaaah hilo halipo weeee, ujue majina matano yanatoka Znz moja kwa moja, hapo huwezi geuza gia angani, itavunja trust yoooote kabisa ya Chama na kuharibu sifa ya muda mrefu ya CCM, hilo si kweli, top 5 Nahodha alikuwepo, ila kila mmoja tulimpa nafasi Makame na Mwinyi kama ndio wenye nafasi za juu za kushinda.. Ila Makame ndio katoka tayari.
 
Back
Top Bottom