nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Sio saa tatu usikuHuu ulitoka saa sita kamili usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio saa tatu usikuHuu ulitoka saa sita kamili usiku
Tanzania inakuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe kwa siku mbili 27-28 Januari, 2025.
Mkutano huu unaandaliwa kwa pamoja baina ya Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya Afrika. Waudhuriaji ni pamoja na sisi wenyeji Tanzania Marais wa nchi za Afrika 24, wawakilishi wa wakuu wa nchi na serikali za Afrika 21; Wakuu wa Taasisi za Kimataifa sita (6) wakiwemo Rais wa Benki ya Dunia, Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika na Rais wa Taasisi ya Rockefeller; na Washirika wa Maendeleo watano (5) watashiriki Mkutano huo. Aidha, jumla ya washiriki wengine 2,600 wa ndani na nje ya Tanzania wamejisajili kwa ajili ya Mkutano huo.
Wewe ndo tukubadilishe hatutaki wewe umsikilize mkalimani wetu...🤣Huyu mkalimani wa TBC anakera kusikiliza, kama anapiga makelele tu. Wafanye kumbadilisha
Asingeweza kufanya kitu, pale wako marais wa nchi nyingi hana mandate ya kuwaendesha au kuwaamuliaHii ni kutokana na ukweli kwamba Magufuli hakuwa mtu mwenye kupenda mikutano na majadiliano ya pamoja.
Magufuli alipendelea zaidi maamuzi ya upande mmoja yaani maamuzi binafsi.
Ushirikiano wa kimataifa ni muhimu hususani katika nchi za kiafrika ili kuleta maendeleo mapana zaidi.
Unapenda sana maneno au sio?Hii ni kutokana na ukweli kwamba Magufuli hakuwa mtu mwenye kupenda mikutano na majadiliano ya pamoja.
Magufuli alipendelea zaidi maamuzi ya upande mmoja yaani maamuzi binafsi.
Ushirikiano wa kimataifa ni muhimu hususani katika nchi za kiafrika ili kuleta maendeleo mapana zaidi.
Hujaona ongezeko la Wachina wanaowekeza kwenye miradi mbalimbali nchini? Huo mkutano wa nishati safi uliofanyika Paris ndio chagizo la mkutano huu. Ajenga ya Samia ya nishati safi inapata nguvu zaidi na sasa inaenea Afrika kote. Unashindwaje kuona haya kama una akili? Ulitaka viongozi hao waje hapa na kuanza kugawa mitungi ya gesi kwa kila mtu? Kuna agenda za energy pool and energy sharing kati ya nchi za Afrika je unajua kuwa haya yote yanahitaji mazungumzo na makubaliano? Haya yote yasingewezekana wakati wa Magufuli.Unapenda sana maneno au sio?
Kwamba hii mikitano imeanza leo? Na nini matokeo ya hiyo mikutano hadi sasa?
Tuambie mkutano kati ya China na wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Beijing pamoja na mkutano wa nishati safi uliofanyika Paris matokeo yake yako wapi?
Usipende kutumia hisia, hicho kichwa ulichopewa sio pambo.
Umetaja mambo ya msingi kwa hizi faida chache ulizoainisha. Safi.Hujaona ongezeko la Wachina wanaowekeza kwenye miradi mbalimbali nchini? Huo mkutano wa nishati safi uliofanyika Paris ndio chagizo la mkutano huu. Ajenga ya Samia ya nishati safi inapata nguvu zaidi na sasa inaenea Afrika kote. Unashindwaje kuona haya kama una akili? Ulitaka viongozi hao waje hapa na kuanza kugawa mitungi ya gesi kwa kila mtu? Kuna agenda za energy pool and energy sharing kati ya nchi za Afrika je unajua kuwa haya yote yanahitaji mazungumzo na makubaliano? Haya yote yasingewezekana wakati wa Magufuli.
Hupendi kumsikia Magufuli au unafikiri hatuna cha kujifunza kutoka kwake, kizuri au kibaya? Hittler hutajwa miaka 80 baada ya kifo chake ni jana tu walikuwa wanakumbukia aliyofanya na kuvikumbusha vizazi vilivyopo visirudie hayo. Magufuli ni nani asitajwe kwa mazuri au mabaya?Umetaja mambo ya msingi kwa hizi faida chache ulizoainisha. Safi.
Lakini jitahidi unapoleta hoja uwe huru bila kumtaja Magufuli (ondoa fikra za utumwa). Huwenda yeye alifanya mengi na makubwa zaidi ya haya bila kuhusisha hii unayoita mikutano ulya kimataifa.
... kama huna 5STAR HOTEL Bongo pole!Lengo la mkutano huo ni nini na utakuwa na matokeo yapi chanya kwa mwananchi wa kawaida?
😅 ... wengine mkifunguaga LIVE huwa mnaziacha DEAD!Jamii forum mbona hii title nimeipost mm alafu mmeifuta. Saivi naikuta hapa.


😅Kuna afande anakuwa baina ya Tazara na Vingunguti anaitwa Dullah. Kawaida uniform zake huwa chafu balaa.Yan mpaka muone wageni wanakuja ndio maafande mnawapitisha na mafarasi kariakoo yan leo ndio askari wanajifanya wana patrol na farasi....SAFARI NI NDEFU SANA...HIVI USISHANGAE LUKAS MWASHAMBWA NAE Yupo DASLAMA KAJA KUUNGA JUHUDI manage Wasafwa mambo Yao wanaelewaga wenyewe
... mbona watu wanamaindi vitu vya hovyohovyo? ... kuna haja kubwa sana ya kuendelea kunyimwa Demokrasia mpaka hapo wapiga kura wakipata ukomavu walau kidogo!Hakuwepo kwenye lists
... lakini ingesaidia kuzijua changamoto za nishati Africa, huku kunguni wa wanachuo wakiweka msisitizo!Kabisa tatizo...Huwezi kuwalaza wakuu wa nchi kwenye zile Hostel za Udom maana Hotel hazitoshi kwa delegation hii yote.


😅