ON May 25th of this year, an event was held in Isingiro District on the Ugandan side, where…
dailynews.co.tz
Huo mradi Samia alienda weka saini, makubaliano ya awali yaliwekwa na Magufuli; ukasimama baada ya kifo chake.
Rusumo Hydro power plant ya Rwanda na Burundi; ujenzi umeanza na Magufuli.
Gas pipeline Ohima-Tanga deal kalileta Magufuli.
Hiyo ya contractor (anaechukua) tender kumwita mwekezaji I have better thing to worry about kuliko kujibu ujinga. Contractor ni investor? Kama huo ndio uelewa wako siwezi potęza muda wangu hata investment hujui ni kitu gani.
Kitu kikubwa mchina sana anacholeta ni kamali.
Kama kujifungia ndani rahisi muulize Mwigulu alipoenda kukutana na members wa Paris Club na Brentwood; amepata hata senti huko.
Halafu muulize Dr. Mpango ziara kama hiyo wazungu walimpa kiasi gani ya kujengea SGR.
Unadhani rahisi miradi ambayo Magufuli alipanga kuimaliza kwa time frame iliyopangwa; imechukua mpaka miaka mitatu zaidi ndani ya muda uliopangwa kwenye mkataba.