Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Sahihi kabisaMie nategemea huyu Rais wa World Bank na huyu CEO wa Roccafella hawaondoki hapa Bongo bila kusaini mikataba mikubwa ya uwekezaji wa Umeme kwa PPP.
Nategemea at least tumetarget kupata megawat 7000 by 2030 kutokana na mkutano huu
Wana mpango umeme Tanzania uwe 10000Mw. Je huo umeme utatufaidisha watanzania? Au tunaingia mikopo kujenga mitambo ya kuzalisha 10,000MW Halafu watanzania tunatumia umeme kuchajia simu na kuangalia mipira ya simba na yanga kwenye tv halafu umeme wanatumia "wawekezaji" tunaishia kuwatajirisha wachina na wahindi, wanapiga hela wanasepa wanatuacha tunachaji simu na kuangalia tv, na umaskini kama kawaida.Mie nategemea huyu Rais wa World Bank na huyu CEO wa Roccafella hawaondoki hapa Bongo bila kusaini mikataba mikubwa ya uwekezaji wa Umeme kwa PPP.
Nategemea at least tumetarget kupata megawat 7000 by 2030 kutokana na mkutano huu
Wazo zuri, ila TZ ushindani haujawahi leta ubora wa huduma, ushindani ni dhana, si kitu halisi.3. Tanzania haiwezi kuendelea na mpango wa TANESCO kuzalisha umeme pekee tukitegemea umeme kuwa wa bei nafuu, Lazima pawepo na ushindani wa bei na huduma,
Upo sahihi tunajifanya vipofu hatutaki kuaddress the real issue watu wanatafuta upigaji.Nikutowajibika vyema tu sio kwamba tanesco inashindwa sema wale wafanye kazi wasifanye wanajua watalipwa tu!. vitu vya serikali dezodezo sana
Maua yapi . Labda maua yaliyokauka ndiyo apewe. Kwa mara nyingine tena Tanzania inaongozwa na kiranja mwenye akili ndogo. Yaani hamna kitu kabisa hapa. Basi tu nchi IPO kwenye Auto pilot===
Nimefuatilia mkutano Mkuu wa nishati maarufu kama M300 Africa nimejifunza yafuatayo:-
1. Nigeria na Africa Kusini ndio nchi zilizofanikiwa zaidi kuzalisha na kusambaza Umeme kwa kutumia sekta binafsi ( PPP )
2. Moroco ndio nchi pekee Africa yenye umeme wa bei chini zaidi na unazalishwa na sekta binafsi.
3. Tanzania haiwezi kuendelea na mpango wa TANESCO kuzalisha umeme pekee tukitegemea umeme kuwa wa bei nafuu, Lazima pawepo na ushindani wa bei na huduma,
Ushauri, Nashauri kituo cha Ubia nchi PPPC kutafuta Wawekezaji serious wa nishati nchi ili kuibua ushindani wa kibiashara ili kutoa nafuu kwa walaji ambao ni Wananchi.
Hivi hua mkiandika (ikiwemo wewe) mnarudia kusoma mlichoandika au bora liende mkuu???===