Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine.
www.jamiiforums.com
Pia kuna ushauri kwanini tufanye Umeme kwa nchi yetu kama muhimili mkuu sababu kubwa ni kwamba tuna vyanzo vingi vya kuweza kuzalisha na kubadilisha nishati kuwa umeme
www.jamiiforums.com
Na tukifanya hayo tuna uwezo wa kuinua uchumi wa kila Mtanzania kwa kumfanya mzalishaji wa Nishati ya Umeme na wakati huo huo kumsaidia kupunguza gharama za kupikia
www.jamiiforums.com
Hitimisho
Tuwe Wazalendo tuchukue maamuzi ambayo yatalisaidia Taifa sio leo tu bali vizazi vijavyo;
Tuanzie Tulipo, Tutumie Tulichonacho na Tufanye Tunachoweza
Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla
Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...
Pia kuna ushauri kwanini tufanye Umeme kwa nchi yetu kama muhimili mkuu sababu kubwa ni kwamba tuna vyanzo vingi vya kuweza kuzalisha na kubadilisha nishati kuwa umeme
Nishati Safi ya Kupikia (Ushauri kwa Watunga Sera)
Kama Mwananchi nimeamua kufanya my Civic Duty..., Tumepata bahati sana wakati huu Dunia nzima imejikita kwenye Nishati Safi, hivyo kuna Pesa za Kumwaga ambazo either tutazitumia vizuri na kuwanufaisha wananchi na vizazi vijavyo kwa kujenga / kuanzisha kitu ambacho kitatusaidia milele na milele...
Na tukifanya hayo tuna uwezo wa kuinua uchumi wa kila Mtanzania kwa kumfanya mzalishaji wa Nishati ya Umeme na wakati huo huo kumsaidia kupunguza gharama za kupikia
Wazo huru: PPP's ya Tanesco na wamiliki wa nyumba Tanzania (133.2 gigawatts)
Nishati ni muhimu sana katika Nchi na Tanzania kama nchi ya kitropiki imebarikiwa kuwe na Jua la kutosha ukiunganisha na vyanzo vingine vingi, vilevile kutokana na Vyanzo vya Maporomoko Nishati ya Jua inaweza ikaunganishwa na Maporomoko ya Maji ili kutengeneza battery ya kutunzia Nishati...
Hitimisho
Tuwe Wazalendo tuchukue maamuzi ambayo yatalisaidia Taifa sio leo tu bali vizazi vijavyo;
Tuanzie Tulipo, Tutumie Tulichonacho na Tufanye Tunachoweza