Mkutano wa Sekretarieti ya Halmashauri kuu ya Taifa na UVCCM, UWT na Wazazi | Komredi Polepole amejiuzulu

Mkutano wa Sekretarieti ya Halmashauri kuu ya Taifa na UVCCM, UWT na Wazazi | Komredi Polepole amejiuzulu

Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi.

Katibu Mkuu, Dkt. Bashiru amesema sasa wanayo kazi moja kubwa ya kujaza nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi komredi Polepole a.K.a Mwendokasi aliyeteuliwa kuwa Mbunge.

Bashiru amesema Polepole ameifanyia CCM mambo makubwa na uteuzi alioupata kutoka kwa Rais Magufuli anastahili, amempongeza sana.

Karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Chakubanga ameprove failure kwa miaka 5 imebidi awekwe pembeni kiaina.
 
Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi.

Katibu Mkuu, Dkt. Bashiru amesema sasa wanayo kazi moja kubwa ya kujaza nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi komredi Polepole a.K.a Mwendokasi aliyeteuliwa kuwa Mbunge.

Bashiru amesema Polepole ameifanyia CCM mambo makubwa na uteuzi alioupata kutoka kwa Rais Magufuli anastahili, amempongeza sana.

Karibu.

Maendeleo hayana vyama!
Issue ya kina covid 19 imekula kichwa chakubanga, kuondoa soo mkuu akamtupia miengoni kwa Ndugai.
 
Ufipa kawaachieni mbunge mmoja tu ' wa dawa "......Aida!
Katibu muenezi anapswa kuongeza wingi wa kura halali za CCM hapo ndiyo tunasema ameongeza mtaji kwa ccm, sasa kununua wapinzani na kuingiza kura feki za kwenye mabegi huo hatuwezi kusema kuwa ni mtaji wa CCM hii inadhihirisha CCM imezidi kuchukiwa zaidi kipindi cha chakubanga ndiyomaana ameshindwa kazi ya uenezi na kujipa kazi ya ununuzi wa waasi na uingizaji wa kura feki kwa mabegi na vikapu.
 
Tupe orodha ya mliowauza!
 
Pole pole anakwenda bungeni si kwa bahati mbaya.It is all planned. Extension ya muda wa Rais........
Please behave! Kwanini kila wakati unashupalia upuuzi huu. He will never extend
 
Chadema bado wanajadili Rungu la Spika kutokuwepo wakati wa kuapishwa Mjela mjela Nusrat na Kamanda Halima James Mdee
Kwa hiyo hii ni move ya kuzima upepo wa uapisho haramu ndani ya gereji?
 
Jamaa washaanza maandalizi ya uchaguzi wa 2025, chandimu wako bize juu ya kutolewa jela kwa nusrat, watakuja shituka spana tena washapigwa
Hivyo ndivyo CCM ilivyo mwisho wa uchaguzi mmoja ndiyo mwanzo wa uchaguzi mwingine.Hao jamaa wamebakia kupiga kelele kuhusu wakina mdee wakija kushituka kumekucha
 
Kwa nini Polepole wamemtumbua? Ubunge ni cheo kidogo sana kulinganisha na katibu mwenezi wa CCM
Hahaha Baraza la Mawaziri linakaribia kutangazwa na huyu dogo atakuwa Waziri na Bila Shaka wa habari
 
Kila nje pole pole alipokua anaongea na waandishi wa habari, nilikua namfuatilia sana. Namkubali sana huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom