Uchaguzi 2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

Tutaingia ikulu kwa kishindo.cc tunamwamini Mungu ninyi muwaamini waganga.maana wakati tunafunga na kuomba kuiondoa corona ninyi mlikiwa mnaomba watanzania wafe ili mfaidike nn?.ndipo hapo sasa watumishi wa Mungu waadilifu kwa Mungu wao wakaona wafanye maombi kwa ajili ya magufuli na serikali yake ili warudi tena kuitetea hii nchi.viva Tanzania viva magufuli
 
kama sheikh Alhad Mussa akikosekana hapo bas kura yangu nampa JPM.
 

Hamna Picha ?
Tunataka kujua hao Viongozi wa Dini ni akina Nani , Msijekuwa mmekusanya Wasanii akina Mashimo, Gwajima, Mzee wa Upako, Kakobe , Sheikh kada wa CCM wa Mkoa wa Dar halafu Mseme ni Mkutano wa Viongozi wa Dini
 
Viongozi hao wa dini ni wa kupuuzwa maana wanafanya upuuzi!
Wapuuzwe na nani sasa? Unadhani waumini watakusikiliza wewe kuliko kiongozi wao? Bora muwashawishi wawaunge mkono kuliko hizo porojo.
 
Naona Majaliwa hana hoja kwani anarudiarudia maneno yaleyale. Majaliwa anaonekana hana uwezo kwenye jukwaa la siasa na anamalizia kwa kuwataka viongozi wa serikali kuwashirikisha viongozi hao wa dini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…