Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Ndio maana ulaya na Marekani vijana hawana muda na mambo ya dini halafu huwa tunawaona wamepotoka, kumbe wako sahihi 💯💯Pepo mchafu toka
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Pepo unayeeneza ujinga na upumbavu toka.
Kwa kumbukumbu zangu, tangu Tanzania iasisiwe awamu hii ndio ya kwanza kutumia gharama kubwa kumsamisha Rais aliyeko madarakani.
Kwa ujinga huu makanisa ni lazima yakose watu ndani ya miaka michache tu mbele.