richard kaswalala
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 246
- 134
Tutaingia ikulu kwa kishindo.cc tunamwamini Mungu ninyi muwaamini waganga.maana wakati tunafunga na kuomba kuiondoa corona ninyi mlikiwa mnaomba watanzania wafe ili mfaidike nn?.ndipo hapo sasa watumishi wa Mungu waadilifu kwa Mungu wao wakaona wafanye maombi kwa ajili ya magufuli na serikali yake ili warudi tena kuitetea hii nchi.viva Tanzania viva magufuli
Ukimaanisha?
Kwamba ni halali kutumia dini kuingia ikulu mnavyofanya na unatushauri sisi tusiotumia dini tutumie waganga?
Hivyo ni kwamba una halalisha kutumia dini kupata madaraka?
Mzima kweli wewe?
Mkuu,tufata principles,we do not follow your immoral behavior mnaziofanya!
Wewe unatumia dini,full stop...mwache ambae hatumii huo ujinga,apate ikulu asipate wewe una presha gani nae?
Mnachofanya ni immoral na mnajua,kazi yetu ni ku-condemn what you are doing basi....fanyeni tani yenu concequences mtapata nyie nyie kutokana na matendo yenu