Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi......
Jamaa anakula maisha tu, kayapatia...

Hamas-Leaders.jpg

======================​

Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an Israeli airstrike on Gaza, Hamas-affiliated news agency Shehab said on Wednesday.

The Iranian-aligned Lebanese outlet al-Mayadeen reported, citing Palestinian sources, that the strike had also killed several of Haniyeh's grandchildren, and that they had been killed in a vehicle in the Al-Shati refugee camp in Gaza City.

Israeli media reported that Haniyeh had later confirmed that three of his sons and three of his grandchildren had been killed in the strike.
 
Atapata mabikra wa kutosha 😀😀
 
Wananchi Alfu thelathin hamsa, wamekufa Palestina.

Benjamin Netanyahu anakula mihogo?

Kuna mambo mengine yanapimika.
 
Ismail Haniyeh kwa Al Jazeera:

Adui ni mdanganyifu anayefikiri kuwa kwa kuwaua wanangu tutabadili misimamo yetu

Damu ya wanangu ni dhabihu katika njia ya kukomboa #Yerusalemu na Al-Aqsa

Hatutasita, hatutarudi nyuma, na tutaendelea na njia yetu ya kuikomboa #Yerusalemu na Al-Aqsa.

Vitisho vya uvamizi wa Rafah havitishii watu wetu au upinzani wetu

Hatutawasilisha kwa usaliti unaofanywa na kazi. Watu wanaojisalimisha hawataokolewa

Hatutaafikiana na hatutakata tamaa, hata dhabihu zetu ni kubwa kiasi gani
 
Sababu mojawapo kwa nini katika vita viongozi huwa hawawindani au hawawindi familia ya kiongozi mwingine japo uwezo huo wa kuwindana wanao ni kwamba hata wewe na familia yako inakuwa hatarini pia bila kujali muda gani utapita!. Sasa hivi watoto wa viongozi wakubwa wa Israel nao wamewekwa ktk target sasa!
 
Ismail Haniyeh kwa Al Jazeera:

Adui ni mdanganyifu anayefikiri kuwa kwa kuwaua wanangu tutabadili misimamo yetu

Damu ya wanangu ni dhabihu katika njia ya kukomboa #Yerusalemu na Al-Aqsa

Hatutasita, hatutarudi nyuma, na tutaendelea na njia yetu ya kuikomboa #Yerusalemu na Al-Aqsa.

Vitisho vya uvamizi wa Rafah havitishii watu wetu au upinzani wetu

Hatutawasilisha kwa usaliti unaofanywa na kazi. Watu wanaojisalimisha hawataokolewa

Hatutaafikiana na hatutakata tamaa, hata dhabihu zetu ni kubwa kiasi gani
Rubbish.
 
Izrael ukileta ligi nao huwa wanaofuata uzao wa kiume wote kuanzia watoto huamini ile simu hurithishwa. Hata kwenye historia walivyoambiwa Yesu anazaliwa kama mfalme, wakidhani ni mfalme wa kidunia, wafalme walitangaza kuua watoto wote wa kiume wanaozaliwa. Haeakujua kuwa walikuwa wanapambana na mwenye mamlaka. Sasa Hawa Hamas wanatest kima Cha maji kwa mguu, watajuta
 
Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi......

======================​

Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an Israeli airstrike on Gaza, Hamas-affiliated news agency Shehab said on Wednesday.

The Iranian-aligned Lebanese outlet al-Mayadeen reported, citing Palestinian sources, that the strike had also killed several of Haniyeh's grandchildren, and that they had been killed in a vehicle in the Al-Shati refugee camp in Gaza City.

Israeli media reported that Haniyeh had later confirmed that three of his sons and three of his grandchildren had been killed in the strike.
Arudi nayeye akapambane,anajificha Qatar tuu
 
Back
Top Bottom