Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

Kama ulikuwa hujui ukifa shahidi wewe moja kwa moja peponi hii ndo raha ya uislam

Hao watoto wa kiongozi wa Hamas moja kwa moja wameenda peponi
 
Screenshot_20240408-165442~2.png
 
Hiyo topic na hilo neno nadhani manafundishwa kwenye madrasa na tarawea maana ndio Kila comment lazima mtumie hilo neno. Ninyi ni watu wa hovyo kabisa ndio maana sehemu za pwani ambazo mmejikita kwa Wingi vijana wa kiume wameharibika Sana. Ninyi ndio mnaeafundisha mabinti zenu wagawe kinyime ili kulinda ubikra wakati wakiolewa waonekane bikra. Mna mafundisho ya hovyo Sana ninyi makoko
Wewe mjinga bora ungekaa kimya hufahamu ushenzi unaofanywa na viongozi dini yako pata darsa kidogo.
>>>>>>>>>>>>>>>>
Mwanasheria Mkuu wa jimbo la Illinois nchini Marekani amewatuhumu makasisi 700 wa Kanisa Katoliki katika jimbo hilo kwamba wamewalawiti watoto, ikiwa ni idadi kubwa mno ikilinganishwa na ile iliyokuwa imetolewa na kanisa hilo huko nyuma.

Katika taarifa, Lisa Madigan amesema Dayosisi ya Kanisa Katoliki katika jimbo hilo ilikiri kuwa makasisi na mapadri wake 185 tu ndio wamewalawiti watoto, huku ikificha kwa makusudi majina 500 ya viongozi wa kanisa hilo walioshiriki vitendo hivyo vya ufuska.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Nipo pale nimrejibanza nakunywa kahawa na kashata ukimaliza kusoma nistue nikupe zingine.
 
Sababu mojawapo kwa nini katika vita viongozi huwa hawawindani au hawawindi familia ya kiongozi mwingine katika vita japo uwezo huo wa kuwindana wanao ni kwamba hata wewe na familia yako inakuwa hatarini pia bila kujali muda gani utapita!. Sasa hivi watoto wa viongozi wakubwa wa Israel nao wamewekwa ktk target sasa!
Wamewekwa kwenye target na nani au wale walevi walio mashimoni
 
Revenge serve no purpose. Both ways need to understand that. The vicious circle of killing will not end untill one side agree to stand down and sometimes, it need a strong heart to admit defeat. I wish the hamas can see how it is causing unnecessary killing. Sit in the table and sometimes, COMPROMISE. When we conduct funerals we only need no more than 1.5M of land!
 
Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi......

======================​

Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an Israeli airstrike on Gaza, Hamas-affiliated news agency Shehab said on Wednesday.

The Iranian-aligned Lebanese outlet al-Mayadeen reported, citing Palestinian sources, that the strike had also killed several of Haniyeh's grandchildren, and that they had been killed in a vehicle in the Al-Shati refugee camp in Gaza City.

Israeli media reported that Haniyeh had later confirmed that three of his sons and three of his grandchildren had been killed in the strike.

Kumbe upo paroko? Kwamba ilikuwa ni kufichama tu? 🤣🤣

Kwa hiyo hapa waliongelea hili jembe?

IMG_20240410_202407.jpg
 
Sababu mojawapo kwa nini katika vita viongozi huwa hawawindani au hawawindi familia ya kiongozi mwingine katika vita japo uwezo huo wa kuwindana wanao ni kwamba hata wewe na familia yako inakuwa hatarini pia bila kujali muda gani utapita!. Sasa hivi watoto wa viongozi wakubwa wa Israel nao wamewekwa ktk target sasa
Watoto wa viongozi wa nchi unawaona? Utawapatia wapi? Labda wazururaji wa super market walikuwa ni akina Sasha na Maria Obama. Hata hao watoto wa Ismail Haniyeh basi hawakuchukua tahadhari za kuingia kwenye bunker
 
Ismail Haniyeh kwa Al Jazeera:

Adui ni mdanganyifu anayefikiri kuwa kwa kuwaua wanangu tutabadili misimamo yetu

Damu ya wanangu ni dhabihu katika njia ya kukomboa #Yerusalemu na Al-Aqsa

Hatutasita, hatutarudi nyuma, na tutaendelea na njia yetu ya kuikomboa #Yerusalemu na Al-Aqsa.

Vitisho vya uvamizi wa Rafah havitishii watu wetu au upinzani wetu

Hatutawasilisha kwa usaliti unaofanywa na kazi. Watu wanaojisalimisha hawataokolewa

Hatutaafikiana na hatutakata tamaa, hata dhabihu zetu ni kubwa kiasi gani
Jipeni moyo ila ndio mnapungua kila siku
 
Kama ulikuwa hujui ukifa shahidi wewe moja kwa moja peponi hii ndo raha ya uislam

Hao watoto wa kiongozi wa Hamas moja kwa moja wameenda peponi
Wewe na Haniya hamtaki kufa mashahidi muone Pepo na Bikra 72?

Huu ujinga mwingine kama ni kweli upo kwenye mafundisho ya dini basi kazi ipo.
 
Ismail Haniyeh kwa Al Jazeera:

Adui ni mdanganyifu anayefikiri kuwa kwa kuwaua wanangu tutabadili misimamo yetu

Damu ya wanangu ni dhabihu katika njia ya kukomboa #Yerusalemu na Al-Aqsa

Hatutasita, hatutarudi nyuma, na tutaendelea na njia yetu ya kuikomboa #Yerusalemu na Al-Aqsa.

Vitisho vya uvamizi wa Rafah havitishii watu wetu au upinzani wetu

Hatutawasilisha kwa usaliti unaofanywa na kazi. Watu wanaojisalimisha hawataokolewa

Hatutaafikiana na hatutakata tamaa, hata dhabihu zetu ni kubwa kiasi gani
kwanin yeye kachimba ? msala kaachia wenzie ?
 
Back
Top Bottom