Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

Mkuu dini namahaba yako visikufumbe macho ukatae ukweli.
Uzuri historia ya wayahudi duniani ipo wazi...!!!
Hatuhitaji waarabu watuadithie
Dini gani hiyo yangu ?

Laiti ungelijua kuwa mimi na mambo ya dini ni paka na panya sio mtu dini yoyote kabisa usinge andika hiki ulicho andika na kunishikiza na mambo ya dini.

Ni vyema umuulize kwanza mtu kabla ya kumpatia mambo yasiyo upande wake.
 
Sasa wao hawataki kwenda pepon. Akina haneya. Na yule mwenzie aliyejificha kwenye mapango kama fuko
 
Sasa wao hawataki kwenda pepon. Akina haneya. Na yule mwenzie aliyejificha kwenye mapango kama fuko
Mlokole wa Kimara Temboni naye eti anapambana na Hamas hahaha dunia ina vituko😂
 
Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi......
Jamaa anakula maisha tu, kayapatia...

Hamas-Leaders.jpg

======================​

Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an Israeli airstrike on Gaza, Hamas-affiliated news agency Shehab said on Wednesday.

The Iranian-aligned Lebanese outlet al-Mayadeen reported, citing Palestinian sources, that the strike had also killed several of Haniyeh's grandchildren, and that they had been killed in a vehicle in the Al-Shati refugee camp in Gaza City.

Israeli media reported that Haniyeh had later confirmed that three of his sons and three of his grandchildren had been killed in the strike.
Kama hao watoto ni wa kiume wameenda kukutana mabikra 72 , sasa hivi wanastarehe.
 
Binadamu sisi viumbe wa ajabu, nimeshangaa eti Kiongozi wa Hamas anaishi Qatar alafu wengine anawatuma vitani... Watoto wake na wajukuu walienda kwenye makambi ya wakimbizi kutoa heri ya Idd wakauawa huko. Na yeye ameonja joto ambalo wazazi wenzake wanaonja
 
Tumia elimu ya msingi tuu.... kwahyo ulitaka mkuu wa hamasi awe Frontline???
Marekani imepgana vita ngapi?? umeshawah kumuona Raisi au mkuu wao wa majeshi wapo Frontline????
Leo hii Urusi yupo vitani na Ukraine,,viongozi wakuu wa Urusi na Ukraine wapo Frontline???
Mkuu wa IDF na Netanyahu wapo Frontline???
Vita ya Tanzania na Uganda,je Nyerere na Idd Amini walikuwa Frontline???
Ile ni vita ya kutetea eneo lao na asili Yao ila watu ambao hata ku-dig historia kidogo mmeshndwa mmegeuza kuwa ya kidini!!
Tufanye sasa Israel ni Taifa la Mungu,it's okay....Mungu gani huyo ameshindwa kuwaambia wana-israel mahali walipo mateka???
Mungu gani huyo anabariki utekaji na uchukuaji wa maeneo ya watu wengne kwa nguvu??hapa nahtaji andiko kutoka kwenye Biblia au Quraan!!!!
Note:Tuache kumuingiza Mungu katika upuuzi!!
Wote hao uliowataja walibaki kwenye nchi zao na kuendeleza mapambano nakuongezea na The man himself Zelesky yupo Ukraine anapambana na Putin kwahiyo na huyo ndugu yako Haniye naye arudi Gaza aungane na Hamas sio kukaa nje ya nchi raia wanataabishwa yeye ni kutoa matamko na kuwajaza upepo wenzake
 
Kuna uwezekano huyo baba yao atatunguliwa akiwa huko huko Qatar. Israel ilishasema hakuna kima atakayebakia hai ikiwa alijihusisha kupanga, kufadhili au kutekeleza tukio la oktoba 7.
 
Kuna uwezekano huyo baba yao atatunguliwa akiwa huko huko Qatar. Israel ilishasema hakuna kima atakayebakia hai ikiwa alijihusisha kupanga, kufadhili au kutekeleza tukio la oktoba 7.
kule yupo ndani ya 5-Star hotel , haiwezekaniki n ana mabilioni ya msaada kutoka kwa USA,UK,ITALY walikuwa wanampka ili kujenga Palestina kumba anajiwekea mwenyewe.
Sema siku akitoka tu hotelini hawa MAKAFIRI wanaye.
 
Wote hao uliowataja walibaki kwenye nchi zao na kuendeleza mapambano nakuongezea na The man himself Zelesky yupo Ukraine anapambana na Putin kwahiyo na huyo ndugu yako Haniye naye arudi Gaza aungane na Hamas sio kukaa nje ya nchi raia wanataabishwa yeye ni kutoa matamko na kuwajaza upepo wenzake
Palestna Kuna chama kinachoitwa PLO,kimeunda serikali na Kina jeshi....ila kupata ushindi maeneo ya Gaza kwa PLO ni shida kpnd cha uchaguzi......wanaharakati wa kudai ardhi yao palestna wanakichukulia chama cha PLO kama wasaliti.
(hata wakati wa kudai uhuru wa nchi mbali mbali za kiafrika kulikuwa na vyama vya kisaliti ambavyo vilikuwa upande wa wakoloni....mfano South Africa,, Congo,, Zanzibar,Tanganyika e.t.c)
Kwa kuwa Hamas hawajashka dola ya palestna inabd wapambane kwa njia yoyote,hata kwa kujifcha na kutoa maagizo!!
Note:hoja ya msingi ni vita vinavyoendelea kati ya Hamas na Israel sio vya kidini.....Kila upande unatetea maslahi yake kama ardhi,mipaka na tamaduni zao!!!
 
Katika mahojiano na Al Jazeera, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas alisema kuwa damu ya wanawe haina thamani kuliko damu ya Wapalestina, waliouawa na Israel.
Inatakiwa damu yake yeye sasa kiongozi wa hamas nayoimwagwe ili isiwe na thamani
 
Tumia elimu ya msingi tuu.... kwahyo ulitaka mkuu wa hamasi awe Frontline???
Marekani imepgana vita ngapi?? umeshawah kumuona Raisi au mkuu wao wa majeshi wapo Frontline????
Leo hii Urusi yupo vitani na Ukraine,,viongozi wakuu wa Urusi na Ukraine wapo Frontline???
Mkuu wa IDF na Netanyahu wapo Frontline???
Vita ya Tanzania na Uganda,je Nyerere na Idd Amini walikuwa Frontline???
Ile ni vita ya kutetea eneo lao na asili Yao ila watu ambao hata ku-dig historia kidogo mmeshndwa mmegeuza kuwa ya kidini!!
Tufanye sasa Israel ni Taifa la Mungu,it's okay....Mungu gani huyo ameshindwa kuwaambia wana-israel mahali walipo mateka???
Mungu gani huyo anabariki utekaji na uchukuaji wa maeneo ya watu wengne kwa nguvu??hapa nahtaji andiko kutoka kwenye Biblia au Quraan!!!!
Note:Tuache kumuingiza Mungu katika upuuzi!!
Hiyo ardhi walipewa na Mungu mwenye enzi. Jehovah elo him
 
Hiyo ardhi walipewa na Mungu mwenye enzi. Jehovah elo him
Mungu huyo baada ya kuwapa ardhi akawaruhusu wapore na ardhi za nchi nyingine???
Kwahyo huyo Mungu muda huu anafurahia mauaji yanayotokea kati ya waisrael na wapaletina???
Hakuna Mungu wa aina hyo......
Mgogoro wa Palestna na Israeli sio wa kidini.......
 
Back
Top Bottom