Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

Ismail Haniyeh kwa Al Jazeera:

Adui ni mdanganyifu anayefikiri kuwa kwa kuwaua wanangu tutabadili misimamo yetu

Damu ya wanangu ni dhabihu katika njia ya kukomboa #Yerusalemu na Al-Aqsa

Hatutasita, hatutarudi nyuma, na tutaendelea na njia yetu ya kuikomboa #Yerusalemu na Al-Aqsa.

Vitisho vya uvamizi wa Rafah havitishii watu wetu au upinzani wetu

Hatutawasilisha kwa usaliti unaofanywa na kazi. Watu wanaojisalimisha hawataokolewa

Hatutaafikiana na hatutakata tamaa, hata dhabihu zetu ni kubwa kiasi gani
mwana kulitafuta mwana kulipata
 
Kwa nini tunagombania ardhi badala ya kugombania uhai wetu?
 
Magaidi yanakimbia nchi yanasababishia watoto wadogo mateso
Yaani mwenye watoto wake kasema wazi kuuliwa kwa watotp wake ni heshima na mapambano yanaendelea wewe Muisrael mweusi wa Uloye mwenye UTI sugu eti unasikia uchungu🤣 unafiki huu
 
We jamaa ni fala kweli wale IDF 10 walioshambuliwa na kufa jana katika battle Khan Younis ni watoto wa nani? Vita haina macho .mtoto wa Netanyahu kajificha marekani huko Miami angekua Gaza si ajabu leo angekua marehemu.
 
Yaani mwenye watoto wake kasema wazi kuuliwa kwa watotp wake ni heshima na mapambano yanaendelea wewe Muisrael mweusi wa Uloye mwenye UTI sugu eti unasikia uchungu🤣 unafiki huu
tatizo anaongea akiwa mbali ilitakiwa nayeye awepo gaza
 
Jamaa hawezi ruhusu familia yake ikae gaza mpka mida huu.
Na anajua anatafutwa sana.
 
Hiyo topic na hilo neno nadhani manafundishwa kwenye madrasa na tarawea maana ndio Kila comment lazima mtumie hilo neno. Ninyi ni watu wa hovyo kabisa ndio maana sehemu za pwani ambazo mmejikita kwa Wingi vijana wa kiume wameharibika Sana. Ninyi ndio mnaeafundisha mabinti zenu wagawe kinyime ili kulinda ubikra wakati wakiolewa waonekane bikra. Mna mafundisho ya hovyo Sana ninyi makoko
Mabikra wote waislam hawana marinda.
 
Kumbe upo paroko? Kwamba ilikuwa ni kufichama tu? 🤣🤣

Kwa hiyo hapa waliongelea hili jembe?

View attachment 2959952

Halafu jamaa kule Qatar havai dera kama nyie hapo Buza

Hamas-Leaders.jpg
 
Panya kakimbia paka
Kaacha panya wadogo nyumbani wanapambana na paka.

Dah hii vita itaaxha madhara makubwa sana kwa hamas na palestina
 
Back
Top Bottom