Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Na ndipo hapo Hamas siwapendi kabisa.Wanaanzisha matatizo kwa Wapalestina walio wengi huku wao wachache wakila raha.Wake up Palestinians!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu jamaa kule Qatar havai dera kama nyie hapo Buza
![]()
Paroko wewe dera ukivaa si inatosha tu? Nasikia unaugulia maumivu, acha longo longo umekimbia Uzi:
Biden: Neanyahu longo longo za nini? "Simamisha vita!"
Kufiwa ndugu na hasa wanao vitani ndiyo udume, watoto wa Natenyahu wako Gaza? Au wewe ulitaka nani age peke yake?
View attachment 2960207
AI hiyoo acha kudanganya watu we mkunyaa . Shukuru JF siku hizi unajua hata kuandika kiswahiliHalafu jamaa kule Qatar havai dera kama nyie hapo Buza
![]()
Katika mahojiano na Al Jazeera, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas alisema kuwa damu ya wanawe haina thamani kuliko damu ya Wapalestina, waliouawa na Israel.ni aibu familia kuuwawa baba kajificha kwa jirani, arudi nyumbani
Broo siku wakipatkana mateka unijulishe!Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi......
Jamaa anakula maisha tu, kayapatia...
![]()
======================
Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an Israeli airstrike on Gaza, Hamas-affiliated news agency Shehab said on Wednesday.
The Iranian-aligned Lebanese outlet al-Mayadeen reported, citing Palestinian sources, that the strike had also killed several of Haniyeh's grandchildren, and that they had been killed in a vehicle in the Al-Shati refugee camp in Gaza City.
Israeli media reported that Haniyeh had later confirmed that three of his sons and three of his grandchildren had been killed in the strike.
![]()
Three sons of Hamas leader Haniyeh killed in Israeli airstrike
The Iranian-aligned Lebanese outlet al-Mayadeen reported, citing Palestinian sources, that the strike had also killed several of Haniyeh's grandchildren.www.jpost.com
Tumia elimu ya msingi tuu.... kwahyo ulitaka mkuu wa hamasi awe Frontline???Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi......
Jamaa anakula maisha tu, kayapatia...
![]()
======================
Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an Israeli airstrike on Gaza, Hamas-affiliated news agency Shehab said on Wednesday.
The Iranian-aligned Lebanese outlet al-Mayadeen reported, citing Palestinian sources, that the strike had also killed several of Haniyeh's grandchildren, and that they had been killed in a vehicle in the Al-Shati refugee camp in Gaza City.
Israeli media reported that Haniyeh had later confirmed that three of his sons and three of his grandchildren had been killed in the strike.
![]()
Three sons of Hamas leader Haniyeh killed in Israeli airstrike
The Iranian-aligned Lebanese outlet al-Mayadeen reported, citing Palestinian sources, that the strike had also killed several of Haniyeh's grandchildren.www.jpost.com
Ndiyo utetezi wako huo?Nyerere aliihama Tanzania wakati wa vita na Uganda?Putin amehamia Korea wakati huu wa vita na Ukraine?Mbona unatoa vitu visivyo na milinganyo sahili?Umeelezwa hao viongozi wa magaidi wapo nje ya Palestina na wanaishi kifahari wakati wananchi wakipata madhila ya kipigo.Unaleta habari za frontlines!Tumia elimu ya msingi tuu.... kwahyo ulitaka mkuu wa hamasi awe Frontline???
Marekani imepgana vita ngapi?? umeshawah kumuona Raisi au mkuu wao wa majeshi wapo Frontline????
Leo hii Urusi yupo vitani na Ukraine,,viongozi wakuu wa Urusi na Ukraine wapo Frontline???
Mkuu wa IDF na Netanyahu wapo Frontline???
Vita ya Tanzania na Uganda,je Nyerere na Idd Amini walikuwa Frontline???
Ile ni vita ya kutetea eneo lao na asili Yao ila watu ambao hata ku-dig historia kidogo mmeshndwa mmegeuza kuwa ya kidini!!
Tufanye sasa Israel ni Taifa la Mungu,it's okay....Mungu gani huyo ameshindwa kuwaambia wana-israel mahali walipo mateka???
Mungu gani huyo anabariki utekaji na uchukuaji wa maeneo ya watu wengne kwa nguvu??hapa nahtaji andiko kutoka kwenye Biblia au Quraan!!!!
Note:Tuache kumuingiza Mungu katika upuuzi!!
Tumia elimu ya msingi tuu.... kwahyo ulitaka mkuu wa hamasi awe Frontline???
Marekani imepgana vita ngapi?? umeshawah kumuona Raisi au mkuu wao wa majeshi wapo Frontline????
Leo hii Urusi yupo vitani na Ukraine,,viongozi wakuu wa Urusi na Ukraine wapo Frontline???
Mkuu wa IDF na Netanyahu wapo Frontline???
Vita ya Tanzania na Uganda,je Nyerere na Idd Amini walikuwa Frontline???
Ile ni vita ya kutetea eneo lao na asili Yao ila watu ambao hata ku-dig historia kidogo mmeshndwa mmegeuza kuwa ya kidini!!
Tufanye sasa Israel ni Taifa la Mungu,it's okay....Mungu gani huyo ameshindwa kuwaambia wana-israel mahali walipo mateka???
Mungu gani huyo anabariki utekaji na uchukuaji wa maeneo ya watu wengne kwa nguvu??hapa nahtaji andiko kutoka kwenye Biblia au Quraan!!!!
Note:Tuache kumuingiza Mungu katika upuuzi!!
Broo Ile ni vita ya kugombania eneo na mipaka....what you mean that Israel haijawahi kuua mpalestina hata mmoja kabla ya vita hii??Wewe ilmu yako ya dini huoni aibu huyu hapa anakula bata huku kizazi chake na ukoo wake ukiendelea kufutwa?
Kilichomtuma kuchinja watoto wa Wayahudi ni nini? Tatizo lenu mkivaa hizo dera akili huwahama sana.
![]()
Ndugu inategemea unapgana vita vya aina gani??sawa yeye hayupo palestna,,, Benjamin neta yupo Israel na mzalendo kweli kweli mbona haendi mstari wa mbele???Ndiyo utetezi wako huo?Nyerere aliihama Tanzania wakati wa vita na Uganda?Putin amehamia Korea wakati huu wa vita na Ukraine?Mbona unatoa vitu visivyo na milinganyo sahili?Umeelezwa hao viongozi wa magaidi wapo nje ya Palestina na wanaishi kifahari wakati wananchi wakipata madhila ya kipigo.Unaleta habari za frontlines!
Ulielewa maelezo ya awali?Anyway,ninavyowajua Mossad,watakuwa wanawawinda hukohuko.Ndugu inategemea unapgana vita vya aina gani??sawa yeye hayupo palestna,,, Benjamin neta yupo Israel na mzalendo kweli kweli mbona haendi mstari wa mbele???
Tanganyika ili hifadhi wapigania uhuru wangapi wa mataifa ya kusini mwa Afrika ?Ndiyo utetezi wako huo?Nyerere aliihama Tanzania wakati wa vita na Uganda?Putin amehamia Korea wakati huu wa vita na Ukraine?Mbona unatoa vitu visivyo na milinganyo sahili?Umeelezwa hao viongozi wa magaidi wapo nje ya Palestina na wanaishi kifahari wakati wananchi wakipata madhila ya kipigo.Unaleta habari za frontlines!
Halafu kingine huwezi fananisha harakati za kupigania uhuru za Palestine ambazo ni armed struggle na Tanganyika lililokuwa koloni chini ya usimamizi wa UN.Ndiyo utetezi wako huo?Nyerere aliihama Tanzania wakati wa vita na Uganda?Putin amehamia Korea wakati huu wa vita na Ukraine?Mbona unatoa vitu visivyo na milinganyo sahili?Umeelezwa hao viongozi wa magaidi wapo nje ya Palestina na wanaishi kifahari wakati wananchi wakipata madhila ya kipigo.Unaleta habari za frontlines!
Jirani nikusalimie tu 🤣🤣🤣Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi......
Jamaa anakula maisha tu, kayapatia...
![]()
======================
Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an Israeli airstrike on Gaza, Hamas-affiliated news agency Shehab said on Wednesday.
The Iranian-aligned Lebanese outlet al-Mayadeen reported, citing Palestinian sources, that the strike had also killed several of Haniyeh's grandchildren, and that they had been killed in a vehicle in the Al-Shati refugee camp in Gaza City.
Israeli media reported that Haniyeh had later confirmed that three of his sons and three of his grandchildren had been killed in the strike.
![]()
Three sons of Hamas leader Haniyeh killed in Israeli airstrike
The Iranian-aligned Lebanese outlet al-Mayadeen reported, citing Palestinian sources, that the strike had also killed several of Haniyeh's grandchildren.www.jpost.com
Uhuru upi???Halafu kingine huwezi fananisha harakati za kupigania uhuru za Palestine ambazo ni armed struggle na Tanganyika lililokuwa koloni chini ya usimamizi wa UN.
Tanganyika lilikuwa tu ni suala la muda kupewa kilicho chetu haikuhitajika nguvu sana kudai kilicho chetu weka kichwani hiyo.
Yeye halioni hiloUgaidi mbaya sana
Upo sahihi kabisa kwa uwezo wa akili zako.Uhuru upi???
Waaarabu kuwanyanganya wayahudi aridhi yao........kama sisi na waarabu wa oman zanzbar????
Waislamu bhana....🤣🤣🤣
Mkuu dini namahaba yako visikufumbe macho ukatae ukweli.Upo sahihi kabisa kwa uwezo wa akili zako.