Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
aende na yeye sasaKatika mahojiano na Al Jazeera, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas alisema kuwa damu ya wanawe haina thamani kuliko damu ya Wapalestina, waliouawa na Israel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aende na yeye sasaKatika mahojiano na Al Jazeera, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas alisema kuwa damu ya wanawe haina thamani kuliko damu ya Wapalestina, waliouawa na Israel.
Kwa hiyo sasa hivi huko peponi ni show show tu kubikiri mademu?Kama ulikuwa hujui ukifa shahidi wewe moja kwa moja peponi hii ndo raha ya uislam
Hao watoto wa kiongozi wa Hamas moja kwa moja wameenda peponi
Mafundisho potofu ya muddy ni ya kipuuzi sana.Atapata mabikra wa kutosha 😀😀
Exactly what you were supposed to writeyote hii kisa aliamrisha HAMAS wawaondoe walowezi wa kiyahudi ndani ya mipaka ya palestine.....
Mimi sina unafki nakuonyesha rangi yangu sahihi hukuniona sehem yoyte nikiimba nyimbo ya idd amin akifaHata tukiwa shule ya msingi tuliimba nyimbo za kumkashifu Idd Amin na Makaburu wa Afrika kusini. Cha ajabu watoto wa palestina wakipinga wakoloni eti ugaidi ila waTanzania ndio inageuka uzalendo!! Acheni unafiki
Exactly what you were supposed to write
Hata Mandela alipoteza ndugu zake kibao kisa kupigania haki wala sio jambo jipya kwenye independence struggle. Kama ni kufuta kizazi hao wayahudi wameua watu elfu 30 pekee kati ya wana Gaza million 2 na ushee!! Hitler mmoja tu alifuta watu million 6 almost 30% ya jewish population kipindi hiko.endeleeni kuzodoa Wayahudi muone namna wanafagia vizazi vyote....
Huyo mzee badala ya yeye kuzikwa na wajukuu zake anawazika yeye sasa
Basi ukae kwa kutulia tena unatakiwa ulipongeze sana jeshi la Israel maana hao wote waliouliwa Gaza wenyewe mnaita martyr wamewahishwa peponi, Isingekuwa Operation Yao hiyo pepo wangechelewa kuiona kwahiyo Bora wawahi.Hata Mandela alipoteza ndugu zake kibao kisa kupigania haki wala sio jambo jipya kwenye independence struggle. Kama ni kufuta kizazi hao wayahudi wameua watu elfu 30 pekee kati ya wana Gaza million 2 na ushee!! Hitler mmoja tu alifuta watu million 6 almost 30% ya jewish population kipindi hiko.
Muda ukifika every blood will be avenged na hata Biblia inasema hivyo kuwa wayahudi watamwagishwa damu mpaka zitajaa urefu wa farasi!! Time will tell
Bosi wa Hamas kama kapiga kambi na mabosi wengine wamepiga kambi apo Qatar. Basi wajue iyo nchi ni Muaanga wa UgaidiNi kupangusa tu hao chawa,ye mwenyewe watampangusa soon hana haja ya kulalamika
Hizo nyama za ngamia anakula siku atatapika
Wala, mimi ni mkristo kama tu wasauzi ni wakristo au Lebanon ila hawapendi ujinga wa wayahudi. Wakorofi sana hao jamaa, ila dawa yao itakuja tu siku moja hakuna ubaya usio na mwisho hii dunia.Basi ukae kwa kutulia tena unatakiwa ulipongeze sana jeshi la Israel maana hao wote waliouliwa Gaza wenyewe mnaita martyr wamewahishwa peponi, Isingekuwa Operation Yao hiyo pepo wangechelewa kuiona kwahiyo Bora wawahi.
Sema Takbiiiir!! Kimoyomoyo.
Huyo hana ujanja wowote analiwa timing tu,siku sniper mmoja tu atamaliza kazi.Bosi wa Hamas kama kapiga kambi na mabosi wengine wamepiga kambi apo Qatar. Basi wajue iyo nchi ni Muaanga wa Ugaidi
Netanyahu yuko nchini kwake akiongoza mapigano hayuko nje ya nchi iwe Qatar au yeyoteWananchi Alfu thelathin hamsa, wamekufa Palestina.
Benjamin Netanyahu anakula mihogo?
Kuna mambo mengine yanapimika.