jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Marekani wako more “strategically”. Sasahivi, maadui wake wakubwa ambao ameamuwa kupambana nao ni mchina na mrusi. Vita vya ugaidi wameachana navyo. Maana ndivyo viliwa keep busy mchina na mrusi wakawa wanaendelea kujikita na kujinafasi ulimwenguni kote.Ulitaka waje wachina,
Kuondoka Afghanistan na Iraqi ni uthibitisho tosha kuwa sasa wamehamisha na kubadili mwelekeo kukabiliana na warusi na wachina. Haufuatilii mikwaruzo kwenye China seas na Black Sea respectively?