Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

Ulitaka waje wachina,
Marekani wako more “strategically”. Sasahivi, maadui wake wakubwa ambao ameamuwa kupambana nao ni mchina na mrusi. Vita vya ugaidi wameachana navyo. Maana ndivyo viliwa keep busy mchina na mrusi wakawa wanaendelea kujikita na kujinafasi ulimwenguni kote.

Kuondoka Afghanistan na Iraqi ni uthibitisho tosha kuwa sasa wamehamisha na kubadili mwelekeo kukabiliana na warusi na wachina. Haufuatilii mikwaruzo kwenye China seas na Black Sea respectively?
 
Marekani wako more “strategically”. Sasahivi, maadui wake wakubwa ambao ameamuwa kupambana nao ni mchina na mrusi. Vita vya ugaidi wameachana navyo. Maana ndivyo viliwa keep busy mchina na mrusi wakawa wanaendelea kujikita na kujinafasi ulimwenguni kote.

Kuondoka Afghanistan na Iraqi ni uthibitisho tosha kuwa sasa wamehamisha na kubadili mwelekeo kukabiliana na warusi na wachina. Haifuatilii mikwaruzo kwenye China seas na Black Sea respectively?
kama ni hivyo madikiteta watachipuka sana
 
lakini ndio kusema wameachana na harakati za kulinda haki, uhuru na demokrasia duniani?
Hakuna haki, uhuru wala the so-called democracy, anayoilinda Mmarekani. US iko kwa ajili ya maslahi yake. And, to be more exact, US iko kwa ajili ya some élite group, the real bourgeoisies that rule the world. Trump alijaribu kuikwamua Marekani huko, akandolewa kwa nguvu. I don't care what you think, believe or say!!!
 
Wanaamini kwamba wachina na warusi ndiyo vigogo wa kubomoa demokrasia na uhuru wa wananchi. Hivyo influence yao duniani ndiyo kichocheo kikubwa cha Serikali za aina hiyo.
Your knowledge on politics, to be polite, is horrible. The individuals who rule the US are just those who rule China and Russia and the rest of the world. Open your eyes!!!
 
kama ni hivyo madikiteta watachipuka sana

US kagundua hawa madictator wengi wamechipuka baada ya kupata ushirikiano na China, hivyo anachofanya US sasa ni kwenda kwenye hizo nchi na kutengeneza urafiki.

Kwa vyovyote hao madictator ni lazima watengeneze urafiki na US kwakuwa wanamuogopa, ila kwa makubaliano wasiwahoji kuhusu mambo yao ya ndani, lakini watawapa watakacho.

Kwa sasa ccm imeshapoteza ushawishi wa kisiasa, hivyo namna pekee ni kuikubali Marekani na kuwapa chochote nyuma ya pazia, ili iendelee kukaa madarakani.
 
Hakuna haki, uhuru wala the so-called democracy, anayoilinda Mmarekani. US iko kwa ajili ya maslahi yake. And, to be more exact, US iko kwa ajili ya some élite group, the real bourgeoisies that rule the world. Trump alijaribu kuikwamua Marekani huko, akandolewa kwa nguvu. I don't care what you think, believe or say!!!

Nimecheka kwa nguvu ulichoandika, eti wakamuondoa Trump kwa nguvu, na ili uonekane unaongea point ukaweka na vijimistari vya kiingereza!
 
Your knowledge on politics, to be polite, is horrible. The individuals who rule the US are just those who rule China and Russia and the rest of the world. Open your eyes!!!
Your insights and understandings of the world politics are quite limited. Expand your knowledge on these matters. This is absolutely narrow minded to be honest.
 
Hakuna haki, uhuru wala the so-called democracy, anayoilinda Mmarekani. US iko kwa ajili ya maslahi yake. And, to be more exact, US iko kwa ajili ya some élite group, the real bourgeoisies that rule the world. Trump alijaribu kuikwamua Marekani huko, akandolewa kwa nguvu. I don't care what you think, believe or say!!!
Ni kweli usemacho US inaangalia maslahi yake. Lakino humo humo ilitumika kudhihiti viongozi wasiowaadilifu wanaonyanyasa wananchi wao kwa utawala wa kishetani.

Utasema aah wapi mbona wanaiba madini na mafuta? Yes wanaiba madini lakini wananchi wana benefiti amani ma utulivu na demokrasia japo kwa uchache. Lakini tunapoelekea Madini na Gesi watachukua na wananchi tutalimia lami meno.
 
Nimecheka kwa nguvu ulichoandika, eti wakamuondoa Trump kwa nguvu, na ili uonekane unaongea point ukaweka na vijimistari vya kiingereza!
🤣🤣🤣wafuasi wa udikiteta wanaamini Trump alionewa
 
US kagundua hawa madictator wengi wamechipuka baada ya kupata ushirikiano na China, hivyo anachofanya US sasa ni kwenda kwenye hizo nchi na kutengeneza urafiki. Kwa vyovyote hao madictator ni lazima watengeneze urafiki na US kwakuwa wanamuogopa, ila kwa makubaliano wasiwahoji kuhusu mambo yao ya ndani, lakini watawapa watakacho. Kwa sasa ccm imeshapoteza ushawishi wa kisiasa, hivyo namna pekee ni kuikubali Marekani na kuwapa chochote nyuma ya pazia, ili iendelee kukaa madarakani.
Mkakati wa Marekani ni kuzitawala nchi zote za dunia bila hizo nchi (watu walio wengi) kufahamu wanatawaliwa. If you're not free economically and politically and socially, you are just as timeserving as any other puppet nation in the world.
 
Tukijadili hili swala kwa maslahi ya taifa tufikirie kuhusu kesho yetu. Tusidhani tuko salama sana.

Nachokiona ni kutaka kuuza nchi kwa maslahi y na tamaa za madaraka.
Marekani wakiamua mtawala wa nchi fulani atawale milele bila vurugu inawezekana. Aliweza kuigeuza Saudu Arabia kuwa ya kifalme wakati ilikuwa na utaratibu mwingine wa kiutawala...
Hii inaitwa 'fallacy of generalisation'. Tatizo la kukosa amani ni zaidi ya mafunzo ya amani. Yaani unataka kutuaminisha kwamba nchi zote zenye matatizo ya amani zilipewa mafunzo na Marekani na zile ambazo zina amani ni zile ambazo zilibahatika kuyakosa?
 
Unakuta mtu anasema eti tanzania ilikufa kidiplomasia hv marekani anavyovamia watu mbona hawasemi wamekufa kidiplomasia..
waafrika mpaka sasa wanaamini diplomasia ni kukubali kila amri inayoteliewa na mataifa ya kigeni.
tuna utopolo mwingi sana kichwani
Na sasa wameshatia maguu na majeshi yao.
 
lakini ndio kusema wameachana na harakati za kulinda haki, uhuru na demokrasia duniani?
Chadema mnamatatizo sanaa..toka lini marekani akawa mlinzi wa haki na democrasia?? Ebu acheni bas uzwazwaa..yaan kisa gaidi namba moja yuko ndank baas mnapayuka payuka kuomba marekani awasaidie kwa mambo ya ndani ya nch zingine
 
Hii inaitwa 'fallacy of generalisation'. Tatizo la kukosa amani ni zaidi ya mafunzo ya amani. Yaani unataka kutuaminisha kwamba nchi zote zenye matatizo ya amani zilipewa mafunzo na Marekani na zile ambazo zina amani ni zile ambazo zilibahatika kuyakosa?
Unakumbuka vitangulizi vitatu vya ukoloni afrika?

1. Wafanyabiashara
2. Wamisionari
3. Wapelelezi.

jifunze kubashiri yajayo usiwe na uoni wa karibu.

Kule Somalia na Ethiopia na hata Yemeni na Saudi Arabia mambo yalianza hivi hivi.
 
Wanaamini kwamba wachina na warusi ndiyo vigogo wa kubomoa demokrasia na uhuru wa wananchi. Hivyo influence yao duniani ndiyo kichocheo kikubwa cha Serikali za aina hiyo.
Uko sahihi USA baada ya kuona influence yake duniani inapungua kagutuka na hata hyo kuja Tanzania ni kwa masilahi yao ka enzi zile za cold war, so hyo yote ni kubana influence za China na Russia, na hiyo ndo globalisation inavo fanya kazi.
 
Back
Top Bottom