Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

Atauwawa kama kuku na huyu. Bomo la kilo 6 kumsambaratisha vipande vipande.
 
Huyu mkuu wa magaidi inapaswa nae aliwe kichwa tumechoka na matisho yake
 
Dr anaongea akiwa shimo lipi
 
Hilo neno Dokta siku hizi linatumiwa vibaya sana haya tuambie huyo jamaa ni Dokta wa nini? vilipuzi ama? Mimi ninachojua huyo ni Sheikh tu hana tofauti na Sheikh Ponda/ Mwaipopo.
Hassan Nasrallah Kasoma usikute kuliko ukoo wako mzima.
Hao mashia elimu ni jambo la kwanza.
Kuna hadi wahandisi humo Hizbollah
 
Mbowe ameingiaje hapa wewe kobazi
Netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 mapema kabla jogoo kuwika

Pambanen na hali zenu
Tulia wewe kocho, tuliza mshono, soma tena post ya niliyemjibu utajua Mbowe anaingiaje hapo!
 
Hassan Nasrallah Kasoma usikute kuliko ukoo wako mzima.
Hao mashia elimu ni jambo la kwanza.
Kuna hadi wahandisi humo Hizbollah
Nilitegemea ungeandika hicho alichosomea badala yake unaanza kutoa mawaidha, peleka masjid mkuu hapa sio mahala pake.
 
Eti yy kaagiza kisha anakaa mbali na Bikra zake!!





KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…